Beta male

[ATTACH=full]264990[/ATTACH]
And the two replies…

Divorce the bitch!

At this rate I think men should just stay alone, and women alone. In fact naona tutakuwa na nchi za waume na za wanawake in future.

Swali la kizushi, nyote mwanywa mvinyo, ukija nyumbani mlevi, ni sawa, lakini akija bibi mlevi, si sawa?
Kama nyote walevi, lazima siku moja atakuja mlevi kama wewe unavyokuja mlevi.
Kujikanganya…

Bibi kama ni mlevi aende akaishi kwake. Ukiwa mlevi na bibi yako pia awe mlevi aje?

You could be onto something.

Bibi akianza kukaja maji huyo ni ndume sasa na siwezi kaa na ndume kwa nyumba moja…how can she dare even come drunk in my house…??

then apply for a visa whenever you need kanyau warm, moist… ukifika huko… you have a countrysome