Best club in mai mahiu

Which is the best wasito with plenty suppy of nyap and fombe

Zayn wa majuu akaona iyo comment yako anaeza kupiga mangumi sana

Kwani hana kitu ya kumwaga?Tena shimo mbaya ni ya…

Mai mahiu ni trucker stop so juwa ukedi ni 90% ata na cd not worth it

:D:D:D ukweli, lakini hawa villagers huliza hizi swali urisk maisha vinoma, sijui hiyo ujasiri wanatoa wapi

Panda mat kuja Nairobi

Watu wa vitongoji duni hawajali shimo

Truck stops have kungurus left right and center. If you haven’t booked one early then there is probability that you will be swimming in another man’s waste after darkness.

Maimahiu is only 60kms to Nairobi, and only 48kms to Ruaka. Kama distance ndio shida, siufike tu Ruaka?At this rate talkers wataanza kuuliza mahali pa kuosha rungu in mundane places like Malaa or Corner Baridi or Suswa.

Agwambo una jua malaa pia , and which malaa are u talking about(kbc) ?

anaongelea kbc. Hiyo iko barabara moja na joska na kamulu. Corner baridi naye ni ukishapita kiserian, suswa ni hii ya reli

eih…boss…mai mahiu na salgaa ni pipa moja la magonjwa ya zinaa…utaokota strain ya ukedi kutoka DRC uanze kuimba lokasa ya mbongo ukihara

Fika tu oldstation hapo naivasha.

Iko wpi haswa uncle

Its a club on your left side as you enter Naivasha from Maimahiu. Bubbles would have been nice but ilifungwa.