Bei ya matumbo (tripe)

Nani anaelewa bei ya matumbo kwa kichinjio? Quantities for a small eatery

I saw in some post jana, tripe inapimwa na gumboots, gumboot moja full ni around 5 bob, juu matumbo sio nyama.

:D:D:D:D @Motokubwa kuja uambiane bei ya cow vagina in gumboot …

I saw the post. Hii kupima na gumboots ndio nini?

uliona wapi,?nyama za kuweka kwa gumboot zilisha na serikali ya moi

kilo 100,120,sana sana inalingana na wingi wa ngombe,kukiwa na shortage inapanda

hakuna kitu kama hio,wachinjaji after kukata kipiece cha nyama walikuwa wanarusha kwa gumboot ndio isipatikane na hiyo maneno iliisha

Hiyo imepitwa na wakati

Matumbo ufanya watu wanakua waoga

Burma Kilo 110.

Burma utauziwa hata @Makalio ya Punda.

Kiamichael tumbo moja ni 50bob

ubaya festivities zikikaribia kiamaikoh hupandisha bei ya mbuzi sana…

Uwongo. Matumbo is around 150 bob per kilo kwa kichinjio. Ikifika butchery ni 250-300 kulingana na muuzaji. Hiyo bizna nimechapa sana.

Burma utauziwa hata Makalio ya Punda

That’s a big challenge of knowing the right product