BASHITE: Wanawake wanaugua tezi dume

[ATTACH=full]183664[/ATTACH]
Tunaposema Zero brain si utani kabisa

Duh… Huyu jamaa kweli mweupe kabisa kichwani!

Wanawake na kuugua tezi dume, wapi na wapi??

Hivi anajua maana halisi ya tezi??

Kilaza wa kutukuka aisee.

Hata hilo jina tu la tezi ‘dume’ hashtuki. choko ni choko .

Hmm… Tezi DUME inamhusu mwanamke! :oops::oops::oops: ukijifanya much know matatizo yake ndo kama haya…

ZERO haijawahi kumwacha mtu salama hata siku moja,hata akivaa nguo za dhahabu wakambeba jujuu na akasifiwa,lakini ZERO HAITAMWACHA SALAMAAAAAA

Mimi huo msambwanda wake tu hoi,sijui nani anamfumua hayo marinda.

Iitwe tezi dume halafu na wanawake waugue!!!,aisee jamaa ni shida.au labda ndkamwambia kamwambia

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahaha
Nilicheka sana jamani, jina tuu kuna dume

[SIZE=5][FONT=verdana]Duh…hatari kubwa shida ya kutotafuta maarifa ambayo mengi tunayapata kwenye vitabu wachache sana wanatabia ya kujisomea vitabu ili wapate maarifa matokeo yake ndo hayo tunayoyasikia ya DAB na zoezi la tezi dume.[/FONT][/SIZE]

Bashite tutusa

Empty set kabisa

Domo lile limekaa kunyonya nyonya dushee. Mla nguruwe pori kapata hasara kubwa.

Lile jinga sana

Hahahaaa

Nasikia Marehemu Six kafaidi sana.

Ndiyo wanauguaje hiyo tezi dume hao wanawake…

Cc: @Mahondaw