Asante kenya talk.kunitoa kifungoni

Hatimae niko huru,jf imekua sehemu ya maisha yangu kitendo cha mpuuzi mmoja (jiwe).kutaka kuwafanya watanzia wotee wamtukuze kinadharirisha inchi yetu.

Jiwe ukae ukitambua mileleee

Jiwe lisilo la pembeni.haliwezi kuwa jiwe kuu

naona macho kodo hahahaah

Hawezi kupambana na teknolojia

Teheteheee

Jiwe haliskii! Jiwe halina Uhai!

Daah hiki kifungo kitaishi lini aisee.