Arsenal Special Thread!

Tukutane hapa WAZEE wa THE GUNNERS! Team the gooners!
Once a Gooner, Always a Gooner!

Arsenal wataanza msimu wakiwa na meneja mpya Unai Emery aliyemrithi Arsene Wenger, Mfaransa aliyeondoka klabu hiyo baada ya kuwa kwenye usukani kwa miaka 22.

Tunaanza na Man City, August 11!

Duh… Yaani na hii mmeamua kuihamishia huku…

Thread ya Arsenal tayari ipo jomba

Duh, hii nayo mmehama nayo!!! Bila Wenger hatimaye!!

www.skysports.com/arsenal-fixtures

Kuna kipya chochote katika timu yetu??