Ardhi ya dhahabu ardhi ya ajabu!

Ndio ni katika harakati zangu za kutafuta Fursa, Nilikuwa naandaa bandiko hili kule JF
TZ pasipo bahati (Kwa bahati mbaya) mods wameshindwa kunielewa katika jambo fulani
dogo sana wamenipiga ban.
(Nilisema JF inaweza kufungiwa tena ni wapi sehemu sahihi ya kukutana nikasema
binafsi napendekeza KENYA TALK, any way na wao ni binadamu huwa wanakosea.

ARDHI YA DHAHABU, Kuna eneo ambalo lina rutuba na ardhi inapatikana, watu wake
wana kaasili ka uvivu… yaani hapo mazao hayasubiri masika. TUTAJUZANA ndo naelekea
huko, maana watu ukiwaelekeza hata kushukuru hawashukuru.

Mtu mmoja nilikutana nae NANJILINJI asijue kuwa ni mimi kasema wazi kuwa alifahamu
huko kupitia Bandiko la JF lakini hata kusema Ahsante ndugu?

No need to go to School because the Rain is Ours…Tutalima kwa Jembe la Mkono bila PEMBEJEO na Tutavuna tu ingawa Bei ya Tunachokilima Haikidhi haja…!!!

Napatamani huko Nanjilinji, kwa jinsi mnavyopasifia

JF nao kwa sasa ni matatizo tuu.

Ifike mahali watu waache kulialia na jf,mbona huku kuna uhuru tu wa kutosha na bado raia wanakomaa na jf?

umesema ukweli mkuu , jukwaa la TZ kumekuwa na uwoga wa kutisha sana sasa kwa mamods, ni wakati muafaka kulihama au kusoma kama guest tu.

Huko ulipoenda ulipapata, na ni kweli kama ulivyopasema?