Architects & Planners & Designers

Hivi what’s the going rate

Client has an idea the type of house he wants lakini the house is like those you see huko kwa colonisers but the structure will be built hapa Kenya

Not exact but replica after all macumba mengi huku style ndion hizo hizo za colonisers (Britain to be exact)

halafu hiyo cost its include nini na nini?

RIP Egrich

This is a stupid /ambiguous question… rephrase and comeback. Saitan

Huyu sasa anasema nini?hii ni ulevi mchanganyiko ya nini?muguka bhangi sigara kuber jug daniels etc.

Me thinks he means cottages…

Something along this perhaps?
[ATTACH=full]310063[/ATTACH]

[ATTACH=full]310065[/ATTACH]

[ATTACH=full]310066[/ATTACH]

Close, but more like this:

Na si ungeweka picha tu mwanzo…

Shida iko wapi? Kwani kuna nyumba za kiafrica na kizungu. Jengea yeye nyumba. Hii ya brown unatengeneza na ngapi?

:D:D:D:D:D:D:D Mzungu amekupea requirements hadi Kizungu ikakulemea,well I hope you are able to express yourself mkiongea

Angalia hii breakdown hapa, ukitaka kunipea kazi nitafute kando tusaidiane

Leta Kazi

These manor style houses are not built for this climate

Why?

kindly elaborate

Nyumba iko sawa even for this “climate”. Kama they survive winters in these brick manors basi hapa tropics itawezaaaaaa… Besides ni eleveshen tu, the plan as per architect can be anything you want for comfort