Ann my 1st X...where are you

Ten years ago after i finished my 4th form i came to nairofi kuhustle kiasi nikitegea kujoin colle.i was a virgin by then.nikapatana na madem wa nairobi woooi.ufisi nilianzia hapo wadau.nilikuwa naishi pale tena estate kwa ile uwanja ilikuwaga hapo.kwa kanyumba ya mbao jo ukiwa ndani unaona tu kila kitu inaendelea nje.kweli mtu utoka mbali.usiku baridi nayo.but i thank sir Jah for this far…

nway back to the story…nilikuwa na fanya kibarua pale inda kwa mhindi fulani na mshahara ilikuwa 4500.but juu nilikuwa nilikuwa naona mabeste wakileta madem kwa keja mimi nilikuwa tu nazima taa kama ni usiku alafu nakaribia hapo karibu na ukuta ya mbao nasikiza tu vile wanapigishwa nduru.nikasema ata mimi lazima nitafute mtu madze.nilikuwa naongopa kuapproach madem.

kulikuwa mama mboga mahali nilikuwa nakatiwa sukuma ya deni hapo nalipa mwisho wa mwezi na alikuwa na kidem kingine kilikuwa kinauza kashop kake hapo.tukazoena kidogo kidogo nikaanza kurusha mahindi…long story short dem alinitoa uvarjo na tukaendelea kukamuana kama miezi tatu nne hivi.kidogo kidogo dem akaaza kudai anashukua ako ana ball.shiiiiieth.nikamshow aende hosi akapimwe…confirmed.kino.kumeharibika.nikaanza kufikiria kuhepa sasa…nikatafuta keja ingine ya mabati hapo karibu tu but nilikuwa naingia usiku na nikazima ka nokia 1110 nilikuwa nako.nilikuja kuhama hio mtaa for good.nikaenda umo pale karibu kwa chifu.

12months nilskia mlango ikibishwa my fren.kufungua…ndem na mtoi mlangoni,mama yake ,baba yake na aunt yake,kwisha mimi.hadi waleo sijawahi elewa how,when, where,what ,who showed them kwangu.Baba yake alikuwa wa kwanza kuongea.ndiye huyu…dem akasema eeh.nikaulizwa …kijana unamjua huyu.nikanyamaza bado confused but nikakubali eeh namjua.baba yake alinishow kitu moja tu na wakaenda.unajua ann ni mwanafunzi???tunakuachia yeye na mtoto wenu na akuonyeshe kwao hasubuhi mkuje na yeye.shiiieth…and they left.nilichapa yeye kuni hio usiku na mahasira huku akikataa ati hajapona na morning tukaenda kwao.nilitext supervisor naingia job late.kufika huko nikapata watu zaidi ya sita wakinitegea.kijeshi niliingia na nkukaa nao

.wuehhhh…sema kuchapwa msomo.but nilijitetea na kusema dem alinishow yeye ni working class na hakuna shida nikichapa dry fry.nikakubali kulea mtoi …tukaenda supermarket hapo karibu nikafanya shopping ya 2500.thank God ilikuwa mwisho wa mwezi.nikamrudisha home na kutoroka.that was the last time i saw my daughter.today she is a grown woman .but i want to see her.nilifanya makosa .i need to talk to ann but nilenda kweny walikuwa waishi nikapata walihama.sina any contacts…sijui nisaidike vipi

the good thing is that before i married na kupeleka mahari kwa kina bibi i told her kila kitu.and she know i have a daughter mahali.akanishow its ok.kila mtu ako na past.bora tu asiwahi kuja kutusumbua later when she is grown

21 Likes

culture leo naona uko overdrive :slight_smile:

4 Likes

:D:Dleo ni kufungua salon mapema mapema

2 Likes

but nilijitetea na kusema dem alinishow yeye ni working class na hakuna shida nikichapa dry fry.

:D:D…hii ndio naitaga ujinga high grade

2 Likes

hahaha…hapo ilikuwa tu kukubali my fren but knowing utaruka tu na kumalasia

2 Likes

Paragraph msee

6 Likes

sorry .edited

2 Likes

Usimtafute, huyo msichana atakuja mwenyewe. What if you have met her and you didn’t know she was your daughter?

3 Likes

Thank God you aren’t employed by the government because of Fida and other feminist agents. That act of taking half salary detach one from the kid forever. Kunguru huitakangi Kuiona.

2 Likes

Ningekuwa huu msee siwezi chipo dame kwa club. Might be the daughter.

4 Likes

@culture wueeh
Hii hekaya imefanya niBreathe hard.

Iko mutoto mahali, but nililenga juu hiyo kunguru haingefugika.

I refuse to be closeted to that.

Tafuta P.I, lipa fees anonymously,weka receipts go effidens,
Then ngojea till she is 7 years (the age of reason
That is ukimpata

2 Likes

mtapatana na yeye in future akufanye sponsor. Tulia tulia tu cz na hio ufisi nako hauwes hepa

1 Like

Rubber jonnie ni muhimu… Utamu 5mins… Life long misery…

2 Likes

You make singo mums and later bash them. Mungu akusamehe… Make up with her before she reach an age of despising you.

9 Likes

thats what am looking forward to do

waaah…culture…kumbe una past.but ata kama ni kuhepa the second tme, ungekuwa wasend pesa kidogo kidogo

2 Likes

nilidelete number na nikajifanya kusahau.but now i need them

Niaje @Voltron ?

1 Like

Fixt

2 Likes

It’s not too late, go find her, mend your burnt bridges. Take care of your little one. Make sure una mlea…one day she might be the one who is taking care of u

2 Likes