Akili ya Binadamu itakushangaza

Anaona kinyaa kusuuza kikombe kwa Maji ya bafuni akiamini ni uchafu lakini anaamini kusuuza mdomo kwa Maji hayo hayo ni sahihi.

Au anaona kinyaa kutumia mswaki wa anayemdenda kila siku akiamini ni uchafu ila kumdenda mwenye mswaki anaamini ni mapenzi.

mmmh