AJAX FC

Leo wamekamuana mbaya sana

[ATTACH=full]330452[/ATTACH]

Kuna msee amefunga 5

kuna timu za nigeria zilifunga 69 - 0 na 76 - 0. si baki, futa

huyo huntlaar nmewai msikia

Amewahi chezea Schalke04, Milan, Ajax na Real Madrid.

unahii highlight…heheh sounds like playing on easy mode

Just wondering how old Klaas-Jan Huntelaar is…

Hu

Hujawahi sikia msito Daley Blind man?

ule wa manchester?

Formerly of manchester alirudi huko Ajax