.#Kwa kufanya hivyo itasaidia kuwa na replies nyingi hivyo thread kuwa sustainable. #Pili kusaidia kutowachanganya washiriki.
_Kwa mfano kunapokuwa na threads nyingi zinazozungumzia picha za utupu basi replies zote zikae sehemu 1 na kuwe na kichwa cha habari kimoja tu.
AU
_Kama threads 10 zinazungumzia budget ya 2018/2019 basi zote ziwekwe katika thread 1.