Admins napendekeza kuwa replies zote kutoka threads zinazofanana kuwekwa katika thread moja.

#1
.#Kwa kufanya hivyo itasaidia kuwa na replies nyingi hivyo thread kuwa sustainable.
#Pili kusaidia kutowachanganya washiriki.
_Kwa mfano kunapokuwa na threads nyingi zinazozungumzia picha za utupu basi replies zote zikae sehemu 1 na kuwe na kichwa cha habari kimoja tu.
AU
_Kama threads 10 zinazungumzia budget ya 2018/2019 basi zote ziwekwe katika thread 1.

Asante in advance!
 
#9

Hicho kichwa chako si tukiweke kwa thread ya picha za utupu?
 
Top