Admin wa kenya wa Kenya talk anzisheni App

Kiukweli tokea nijiunge na hii forum baada ya jf yetu kufanyiwa utorokongo, ufinyembe na ukiritimba unaokera hata watoto waliopo tumboni…!
Lakini naona uvivu sana kuingia kwenye hii forum sababu tu hawana App…

Hivyo tunawaomba uongozi uliangalie hili maana litawaongezea fans wengi zaidi…!

Sio ww tu mkuu mm pia mmojawapo nasikia uvivu uvivu yaani watuwekee tu app jamani

Huwa natamani unizawadie

Nikuzawadie nini

Uwepo wako usiku wa manane

Mm sio mali ya uma mkuu anayenikula ni mmoja na anatosha sana

Hahahahahahaaaaaa

Umefurahi shemeji yangu nimekuletea mbebez wako umemuona

Nimemuaona

Nishampa taarifa toka siku nyingi ila alikuwa anaogopa tu kuingia huku

Sawa shemeji

umenena mkuu, maana kuingia humu inatia uvivu wadevelop application iwe rahisi zaidi

Halafu hii kitu km JF ya 2008/9 huko dah,wajiongeze kdg ,nilijua wa Kenya wajanja ktk makitu haya kumbe JF iliwaacha mbali sana

Ha

Hahaha aisee jf raha sana

Sanaaa mkuu

Naona umempa Jibu mubashara Utadhani una dictionaries kichwani hahaha

Hahaha mkuu watu wengine wanastahili tu kujibiwa hivyo mtu anakuchukulia kama malaya tu anataka eti akukule si akanunue barabarani uko

msimamo mzuri.

Asante mkuu

Safi sana dada ang

Sijataja kula sehemu yoyote, nimesema uwepo wako.