Achana nao hao ni wapiga dili...!!!

[ATTACH=full]176669[/ATTACH]

Kichwa lazim kiume maana alijua tayari kashamaliza kazi kwa kuifungia JF

We are on the right track

Hawezi shindana na teknolojia

Hahaaa

Duuuh

piga dili weweeeee

aisee

ni mwendo wa dili tu

Yaani malaika lazima kisukari na pressure zimchanganye

Ati nasikia wameamia Kenya?

Fungieni na kule.

Haiwezekani mzee.

nasema fungieni

kIPANyA

:cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool:

Kazi kweli kweli!

Mwisho wa siku utasikia mtu flani mwenye cheo flani wa TCRA katumbuliwa
Atapangiwa majukumu mengine.

:D:D:D:D:D