A. O. B official thread.... Jioni pserko

Matatu chronicles.

I like to use public transport bc of people’s behavior. Sometimes you can laugh your head off… Other times you end up arriving to your destination while in a foul mood.

Kama ni basi and the only available seat is next to a plump person… Aaarrggg, you feel like you are being a suffocated. Sometimes almost falling off the seat mat ikipiga kona hehe. Or an instance where a thin person is poking you with their elbows. Or you’re seated next to a person who has smelly shoes and you wonder how the stench is reaching you or they’re all sweaty. Or a person who has used a lot of perfume and you can barely stand… Especially if you are allergic, shait!

How about kulipa na kurudishiwa change drama?? Wengine refuse to pay the right amount and end up being thrown out of the bus… Others pretend they’ve paid and look away when the tout is asking for the cash… Others keep asking for change now and then… Ata kama ni ten bob, hehe.
Problems come up when the tout pretends to have forgotten about it… Other times he gives you an excess. [ATTACH=full]191350[/ATTACH][ATTACH=full]191351[/ATTACH]

Last time I was in a matatu was in 2006. Mimi huziona tu kwa barabara.

[SIZE=1]mimi sana sana hutumia nduthi ama natembea[/SIZE]

si umepewa mbele,tena unataka upewe nyuma??

Sijapewa na mtu… Labda wewe unipee

Nduthi hapana… I Kent, kwanza on a rough road naskianga kujikuna haga

:D:D

Husikiangi kujikuna science* pia :smiley:

Matatus used to be good training grounds to get your mark on. Nowadays the gals all have headphones in their ears plus sisi tushazeeka

Ata thermal image ya haga hatutakataa :D:cool:…asking for @Randy

Tumieni imagery…

[ATTACH=full]191375[/ATTACH]

Usikue ivo tenda wema nenda zako.

mjalus ama???

ata mimi niliwahi sikia hii theory,ati dem wakibebwa na nduthi,hizo vibrations uleta nyege,so inabidi wajikune.so it is true?

Inakaa una ASSSS yaani kinyambisi fiti:D
Izi ngumu ngumu haziskiangi zikirushwa rushwa:D:D:Dkuna beshte ashai shika manze Fulani Mslim tukiwa kwa mat that is back in highschool day ya closing tukiishia home saa ako ka nyama ka haga kwalwa kanasonga boys anafinywa aje na kamfupa kahaga naona anarusha mguu ndio at least dame arudi fom:D:Dboys aliteseka aisee

Hahaha… Well, I don’t like to brag [emoji4]

:D:D:D:D

Unasahau aje watu wa set. Ukiingia mat imejaa but wanatoka moja moja unabaki solo na alisema mmoja twende.
Then zile siku una haraka mat inasimama kila stage na kuna jam. Ile siku uko nde utadhani ni presidential motorcade hakuna jam
Finally, konda anasema fifty pale nje ndani ni eighty

Mat za Koma I experienced that… Ati fifty nje, eighty ndani… Sikulipa, nilisema sina

Me and you both. I love public transport, kitambo before my fracture I used to walk a lot. Hiyo vroom vroom hata from the living room to the bathroom huchokesha sana!