A day like this 14 years ago

So ilikuwa birthday ya thufataa …mimi na maboyz tukapangaa party…this is muratina na mizinga za kenya cane na ma naps…it was on a Saturday …

Sasa shida ilikuwa party tulikuwa tunaifanya hadi chee na magyal dem wa mtaa wetu walikuwa na curfew so my pal thiongo aka suggest niaje thufataa si tufike One stone pale mugethoo tushike ma rachet tu ji nice hadi morning…

Idea poa thiongo…tukafika club One stone iko gachie mugethoo… rachet zimejaa uko zingine hazina ata meno…thiongo akabonga nazo kuwa tuko na bash na mizinga tuende tuji nice hadi che…

Hao sisi kwa taxi ya mugethoo tukalipa 100ksh rachet nne kwa taxi na mimi na thiongo tukafika kejani …tukapataa maboyz kejani light ni ile ya red so mizoga ziki ingia zinakaa amber rose …

Tukaji nice fombe ilikuwa mingi na mizingaa kudance whole night hadi majirani wanapiga kelele…zilipo tushikaa tukawekaa ngwati kwa black and white tv na vcd player…

Wacha tuniseme iyo night watu walienjoy orgy hadi morning

Sasa time ya kuamka tuna amka around 11.30 am watu wametoka church na wakarudi.

Sema aibu izo mizoga hazina meno and are all old women… gachie wanaitwa cierude aka kiheti…

Sijawai kuwa embarrassed ivo

Nilikuwa naulizwa ureda kuhikia kiheti thufana.

Anyway wadau happy birthday to me today

Unafikisha ngapi mjamaa??

Happy G’day muthee wa cierunde:D. Pewa ratish on my bill. The origi one from Gachie massive.

Hehe @Thufataa welcome back and irie birthday. Nimesoma apo wewe na Thio mulienda kuchota kiheti … I guess all Thios are jinxed.

Happy birthday Sparta. Usilost ivo tunataka more of your crazy hekayas

Nimetoka age group ya youths 36 mdau

Apo sawa wacha nipewe mtungi ile 20 liters

Thio huwa wabaya sana…kuna heka nitawapea vile alikamua kiwete

:D:D:D hauku run with falling trousers

Tunaingoja kwa moyo mkunjufu

Bado wewe ni kijana.
Happy bazday anyways…

Timo natafuta heka yako ingine ya cierunde mlipeleka home. Wamama wakapiga nduru when they saw them wakichomoka kwa keja. Ebu nipe link nichangamke.:smiley:

Hepi bezday mutongoria. Hio hekaya ya kiwete nitaiprint na niilaminate kisha nitaambia wajukuu wangu,hio ni historia ya freedom fighters,wasome na niseti exam. So,usikose

eh, buda. One Stone was (the) shit back when, nimesoma nikabambika tu. Kumbe kikosi ya Gachie iko kijijini

tuko wengi sana

unakumbuka savanah na SWAMP ya ma sonko?

Banae, savannah imebeat mbaya. Kamutaro nayo pia wazae walikuwa wanajificha huko