3.2 million school fees

[MEDIA=twitter]1550349922179764224[/MEDIA]

I’m sure that’s for years 12 and 13, but who’s complaining?

Fees are largely paid for by the employer such as the UN, Consulates etc.

Lanes. Kila ng’ombe akule kulingana na urefu wa kamba yake.

Watu wa DEB wapeleke watoto DEB bila kusumbua.

3.4m school fees ni $25 per hour

hata kama hulipiwi na kampuni na unafanyia kazi wazungu wanakulipa $75 per hour, hio si pesa mingi

Umesahau close to half of that goes to taxes. Na cost of living is very high, na hujaweka healthcare, credit card debt etc.

Utaona bonobo with stolen tender money ikikimbia kupeleka watoto wake huko as a status symbol.

Very few kids actually benefit or leverage those so called networks that are touted as the reasons for schooling there.

A majority of people I know that went to akina Hillcrest, Brookhouse or Peponi are living kawaida lives doing kawaida jobs in corporates or family businesses.

The only time unajuanga their schooling was different is when they put on their mid-Atlantic accent.

yaani ukilipwa $75 per hour na uko hapa kilimani

:smiley: I’m a Braeside alum lakini watu wakiniuliza nasemanga nilisomea Braeburn Group of Schools

MGTOW=FREEDOM… @Yuletapeli ,wewe unasomesha your step children pale wanja and Kim academy unayapi ya kusema?
.

I would argue benefit huingia in Uni. Mtu amesomea a cheap but decent private school primary, halafu akaenda Alliance and the like high school, then University aende USIU ama Strathmore atakuwa very well connected. Akiweza aendee masters majuu. The point is, connections matter more to older kids than younger ones. Hata most of these billionaires wa forbes walikutana university.

Hehe, binadamu hatutoshani mikono.

These kids I’m talking about wote walienda uni North America UK or Australia… For others the latest trend though is to get them in low key but very cushy civil service positions especially pale kwa polisi, jeshi, Foreign Affairs na NIS.
These are positions courtesy of their parents connections not their schooling.

Wale najua they went huko majuu, got knocked up, wakarudi na bastards kusumbua wazazi :D. Sometimes girl child hukuwa liabilities na sio siri.

Exactly, the fees for many of the students are catered for by the employer as benefits for staff working abroad. Halafu wewe unaenda kungangana huko na US govt na UN kulipa school fees.

How comes wewe hutangamana na sisi,those kids of those schools hujiskia sukari sana

Damn tutapeleka wetu school of nation iko karibu na ISK lakini tuseme wanasomea ISK

Damn nigga. That’s literally me fr fr.

Si ziko under same group of schools?? Hebu enlighten us kidogo juu I thought they are under the same management.

Hii ndio hukuwa shortcoming ya pesa ya siasa ama bureaucrats. It is almost impossible to pass it on juu mtoto hawezi inherit career yako kama corrupt politician. By the time he comes of age wewe ulishatoka politics juu ya uzee ama ukakuwa irrelevant. Meanwhile wahindi are currently running third generation businesses. Watoto wao have ran those businesses since their teenage years hata mzee akizeeka they take over seamlessly.

Wealth ya kuibia umma tends to dissipate very fast unless umeiba excessive amounts kama Moi ama Kenyatta. Everyone knows of a broke former MP.