24HRS SWAHILI STAR MOVIES-BONGO MOVIES|SWAHILI MOVIES.

HABARI ZA HAPA. TUNAVUKA BODA KUWAPA BURUDANI MWANZO MWISHO NA 24HRS SWAHILI STAR MOVIES.

INGIA HAPA KU-SUBSCRIBE KWA MOVIE MPYA KILA SIKU
BOFYA HAPA-https://www.youtube.com/channel/UCplzDTuDKHUSE0eb3Th59ow

WATAPATA TABU SANA-FULL KICHEKO-VICHEKESHO MOVIES

https://www.youtube.com/watch?v=soM5QTMSyiU:260

bando ndo shida

Umeona eh! Inawezekana yeye anatumia bando la ofisi…

Siwezi kuchoma Mb zangu kwa ajili ya Bongo movies

hivi bongo movie huwa mnafuata scripts za mwandishi au huwa mnajiropokea tu…maana unaweza ona kabisa hiki kipengele cha watu kutabasamu lkn unakuta mtu analia

jaribuni kufuata procedure…wenzenu industry zilizoendelea huwa anapewa scripts kabisa anatakiwa aongee maneno gani,avaaje,atembeaje,akishindwa anaondolewa kwenye move sasa nyie unakuta mpo mnafunga ndoa kanisani waliohudhuria wamevaa pensi anzeni kwanza kupenda mnachofanya then you can deliver your future