2019 Bentley Bentayga at Ksh 4m

Have seen hii advert huko jiji. Odhis anaweza nyorosha?

https://jiji.co.ke/lavington/cars/bentley-bentayga-2019-gray-1JoUydfC0JpXZSECmrWIGY0Q.html?lid=YzC3IZke2x0QcqBx&cur_pos=1&pos=1&ads_count=20&ads_per_page=20&page=1

https://d12prgon3aw7l1.cloudfront.net/10993545_img-20200727-wa0013_620x465.webp

Kunyorosha anaweza lakini balaa iko Kwa zile electronics na sensors ziko damaged hapo ndani

Hii si ni ile ilikuwa inatrend pale whatsapp juu ya kuroll on day one?

Bora isonge. Watu wamezoea kupanda magari kienyeji bila senors ,imejaa rust unaona lami kwa floor,inanyesha ndani zaidi kuliko inje…that is just cosmetic damage my fren

How badly is the engine damaged? Naona ma airbags kwa dashboard meaning you will need a replacement. Hapa mwenyewe amepiga hesabu akaona repairing makes no sense

Hii haiwesonga kama dashboard lights zimewaka kama stripclub…hii ukicheza utawacha juu ya mawe na ufuge kuku :D:D. If there is damage to transmission, steering unit or engine sensors hio unachorea tu coz itakuwa kisiagi ya pesa. Hii Sio cosmetic damage that’s why the owner is selling it at that price.

Ukieka hivyo naelewa sasa

Hii si ni ile ya yule kijana wa kisumu alipata ajali nyingine na Nissan patrol akaua majamaa wa boda.

Seems the owner had 3rd party insurance otherwise angelipwa. Or is he selling the salvage that was scrapped?

https://d12prgon3aw7l1.cloudfront.net/10993551_img-20200727-wa0015_620x465.webp

hii ni write off. no way inaeza rudi functional. btw luxury cars are meant to be unreliable ndo kama ulibuy for show utajua hujui. msito “Scott” huziita money pit.

i think it can come back to life, maybe the owner has enough cash not to risk his life and that of his family, hadi airbags za side deployed, ingekua midrocrass ndio wangejaribu kuirepair

Buy it… Put a toyo engine nd transmission…

Or. An electric motor pale kitengela…

Electrics can be modified…

Correct. Hii ilikua na 3rd party

[SIZE=7]endless money pit !:smiley:
[ATTACH=full]317227[/ATTACH][/SIZE]

Auze seven fifty ninunue nifanye ukarabati

Unawekelea slim engine na roof rack haraka…

Beats the whole purpose of driving a Bentley. Sa itakuwa ufala gari kuiendesha westy ukifloss nayo alafu ndani ni 1NZ engine ya probox., na tutakuwa tunakuona Grogon every 2 weeks repairs??.

Hii mwenyewe ahesabu tu hasara na afuge kuku hapo ndani.

Body and airbags fix should be cheap.

Mechanical spare parts ndio shida, dealer will charge you a fortune because that’s how they pay their rents and salaries, otherwise it’s just a combustion engine like any other, it can be fixed.

Never underestimate local oily hands mechanics, akiamua kukalia hii kitu, hiyo engine itabweka in queen’s english again.