2018 Form 5 Selection.

Wakuu hivi haya majina yatatangazwa lini nina mdogo wangu alipata div 2 yupo kijijini aelewi kama wameshatoa au bado.

UPDATE:

http://tamisemi.go.tz/app/form_5_selection/

Subira yavuta heri,yatatoka tu mkuu…

Yakitoka utasikia tu, hata ukiwa ushago…

m mdg wangu nimemshaur aende clinical officer, kama hataki aje anisaidie kaz yangu ya kuchmb makaburi

mmmh! duh!

Vuta subira mambo yatakuwa shwari tuu.

kama sio kesho jumatatu ijayo au jumatano mkuu

Majina yametoka leo wakuu.
Fanyeni kuyachek huko tamisemi

Ndio yametoka ila sasa kazi mno kuyapata

Kuna link ya tamisemi yaonyesha matokeo yapo lakini web haifunguki…

Yametoka leo ila kufungua ni ishu

kwangu nayapata easy tu

nitumie link mkuu napata shida kuyapata

Angalia post #1

ASANTE MKUU NIMEYAONA

MKUU lakini bado link inasumbua sana kufungua

Mwenye fresh link atuwekee jamani

Link ni ile iliyowekwa.

Asante mkuu,nimefanikiwa kuyaona yote,shukrani

Shule nzuri ya form five kwa wavulana private nisaidie kwa masomo ya science …PCB, PCM, EGM, etc