Me hununua kwa wasomali....unapewa jeans brand new mpaka unajikatia ile shimo ya kuingiza button...na pia kumbukua umeiona ikitoka kwa juala...Hii maneno ya gikomba na camera sitambui tangu nirealize ziko even more expensive..Eastleigh utapata na 800 kama unanunua tano kuenda juu