Hofu kubwa ilitanda baada ya marehemu huyu kushtakiwa kwa ufisadi wa T Shs 200,000,000,000/= (Bilioni 200) ambapo aliitia hasara serikali ya Tanzania kutokana na mradi wa ujenzi wa majengo pacha ya benki hiyo.
Liyumba alikuwa maarufu kwa kuwa bingwa wa kuhonga mapesa mengi na magari yenye...