Search results

 1. TanzaLand

  Mashabiki Yanga wataka kipa atimuliwe

  Mashabiki wengi wa klabu ya Yanga wameutaka Uongozi kumfuta kazi kipa wake Mkongo, Klaus Kindoki Licha ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Stabd United. Mashabiki hao wenye hasira (majina tunayo) wameeleza kutofurahishwa na uwezo wake baada ya kuruhusu mabao matatu. Kitendo cha Kindoki...
 2. TanzaLand

  Haya ndio maneno ya Kalanga baada ya kuibuka mshindi Monduli

  Baada ya kutangazwa mshindi katika kinyang’anyiro cha Ubunge jimbo la Monduli, Mbunge mteule Julius Kalanga (CCM), ametoa shukrani zake kwa Wananchi wote waliompigia kura na kumpa ushindi huo, huku akiahidi kuyafanyia kazi mambo yote ya msingi waliyokubaliana wakati wa Kampeni. Kalanga...
 3. TanzaLand

  JamiiForums haijahamia Kenya,hili ni jukwaa tu...

  Kwa wale waliofika humu tangu jumatatu walikutana na "Tanzanian News and Politics" instead of Jamii Forums. Lakini baadae wengi wao walianza kuomba majukwaa ya yote JF yawe humu.Hivyo uamuzi ukafikiwa kuwa jukwaa la Watanzania liitwe 'Jamii Forums' na liwe na majukwaa yote muhimu.Hivyo si...
 4. TanzaLand

  Kuhusu Mobile App...

  Kwa sasa KenyaTalk haina mobile app hivyo nawaombeni wakuu,tuendelee kutumia browser mpaka pale app 'itakapopatikana' Tuwe wavumilivu,wenye subra pamoja na hekima. The Tweet.
 5. TanzaLand

  Makapuku Forum

  Wakuu Habari. Huu ni uzi maalum kwaajili ya makapuku wote wa JF. Lengo ni kujadiliana kuhusu changamoto mbalimbali,kupeana michongo ya maisha na soga za hapa na pale. Shukrani kwa Founder wa Makapuku Forum Dada @Shunie. Nawasilisha...
 6. TanzaLand

  Karibuni Chit-Chat...

  Tayari moja ya jukwaa pendwa JF Chit Chat liko kwa hewa. Tuzingatie yale tuliyokuwa nayo kule JF Original. Ukiona kitu ndivyo sivyo bofya "Report".Kama una lolote tuwasiliane. The Tweet JF Moderator.
 7. TanzaLand

  Sakata la Mwl.Ayubu wa St.Florence liliishia wapi?

  Wakuu mwendo details za hili sakata la Mwl.Ayubu wa St.Florence aliyedaiwa kungonoka na wanafunzi anijuze please.
 8. TanzaLand

  Wa mwisho ndo mshindi.

  Wakuu,njooni tucheze mchezo ufuatao. Anza sentensi kwa kutumia neno la mwisho la aliyetangulia. Mfano. Magu amezima mitandao. Mitandao imezimwa jamani. Jamani jf itarudi lini. ....
 9. TanzaLand

  First Thread

  Waooh welcome wakuu.
 10. TanzaLand

  Special Thread:Mahusiano,Mapenzi na Urafiki(MMU)

  Wakuu,karibuni sana Kenyatalk. Wengine tupo humu tangu 2016 ila matatizo ya JIWE yametufanya tuhamie huku moja kwa moja. Nawakaribisha hapa kwa ajili ya kujadili yale mambo ya MMU. @admin kama unaweza kutusaidia tuwekee subforum ya Mahusiano,Mapenzi na Urafhki(MMU) Plz.
 11. TanzaLand

  Admin tunaomba "Tanzanian News and Politics" Forum...

  Habari wakuu? Admin husika na kichwa cha habari chajieleza...
 12. TanzaLand

  Tuliotoka JamiiForums tukutane hapa...

  Baada ya JamiiForums kufunga huduma yake kutokana na notisi ya TCRA kwa muda usiojulikana. Tuliotoka huko njooni tujadiliane hapa...
 13. TanzaLand

  Nimekuja kuwasabahi!

  Habari za muda ndugu zangu?.. Napita kuwasalimu ndugu zangu wakenya. The Book,Tanzania!

Top