Search results

 1. Bishop Hiluka

  Sumaye anataka kuongea nini?

  Nimepata habari kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Fredrick Sumaye atazungumza na waandishi wa habari kesho Jumatatu asubuhi nyumbani kwake Masaki kuanzia saa tano asubuhi. Je, ni ule muendelezo wa 'Rudi Nyumbani...
 2. Bishop Hiluka

  Inampa mzuka wa kazi

 3. Bishop Hiluka

  On Sunday

 4. Bishop Hiluka

  Kesho Jumapili watakuwa hivi

 5. Bishop Hiluka

  Matatizo yote yalianzia hapa...

 6. Bishop Hiluka

  Matumizi ya VAR TZ

  Tanzania inapotumia teknolojia ya VAR, sijui kama timu ile watapona
 7. Bishop Hiluka

  Le Profesa Muhongo

 8. Bishop Hiluka

  Ujumbe kutoka kwa Henry Kileo mume wa Joyce Kiria

  Ameandika Kamanda Henry Kileo mume wa Joyce Kiria katika ukurasa wake wa Facebook. Hakuna chochote katika maisha cha kupigania! Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu. Akiba yako kwenye akaunti ya Benki ni sawa na mchango wa mtu katika sherehe tu. Boyfriend au Girlfriend...
 9. Bishop Hiluka

  Shikamoo Kiswahili

 10. Bishop Hiluka

  Caption it

 11. Bishop Hiluka

  Nakutakia mapambano mema

  Kipato kinapoishia kwenye chakula na malazi, kiuhalisia kazi unayofanya inakuwa si fursa ya maendeleo, bali juhudi za kubaki hai ambazo ni fursa ya maendeleo kwa mwajiri wako. Hali hii ilikuwa na jina lake karne ya 16 na 17, iliitwa UTUMWA. Nikutakie mapambano mema ya kujikomboa toka utumwani...
 12. Bishop Hiluka

  JE, KWANINI TUNAFOKA?

  Mwalimu Mbobezi wa Saikolojia akiwa anafundisha kuhusu mahusiano, aliwauliza wanafunzi wake: "Kwanini tunafokea na kukaripia tunapokuwa tumekasirika? Kwanini watu wanafokeana na kukaripiana kwa sauti kubwa?" Wanafunzi wakafikiri kwa muda, mmoja akasema, "ni kwa sababu tunakuwa tumepoteza...
 13. Bishop Hiluka

  CHUKUA HATUA...

  Jumapili moja nilikuwa kanisani nikimsikiliza Mhubiri. Mhubiri huyo alitoa mfukoni noti za shilingi elfu kumi kumi zilizokuwa na jumla ya shilingi laki moja, akauliza: "Ni nani miongoni mwenu anataka nimpe hii laki moja?" Watu wengi waliokuwa mle Kanisani walinyoosha mikono, kila mmoja alikuwa...
 14. Bishop Hiluka

  Ndoa siyo group la whatsapp

  Dada ambaye hujaolewa na unapenda maisha ya ndoa, elewa kuwa ndoa siyo group la whatsapp au facebook, ndoa siyo jumuia, ndoa siyo zawadi kwa wazazi, ndoa siyo social status, ndoa siyo watoto, ndoa siyo kuondoa nuksi: 1. Usiolewe sababu eti rafiki zako wote wameolewa 2. Usiolewe sababu eti...
 15. Bishop Hiluka

  HII INATOKEA TANZANIA TU!

  Ni Tanzania tu ambapo mdada anajua kabisa tarehe ya kuvalishwa pete ya uchumba (engagement), anashona nguo, na anakwenda saluni, halafu mwanaume mchumbiaji anapokuja na shamrashamra zote siku ya tukio, eti akitoa pete kumvalisha mdada huyo anajifanya kushangaa sana (SURPRISED)! Kuna mmoja...
 16. Bishop Hiluka

  Rais mdogo zaidi duniani aliyeishia kunywa 'mataputapu’

  Enzi zake hakushikika kwa anasa lakini sasa ni 'kula kulala’ kwa mama yake. SIKU tatu baada ya kutimiza umri wa miaka 25 ya kuzaliwa, Valentine Strasser aliweka rekodi ya kuwa Rais mwenye umri mdogo kabisa duniani. Ilikuwa Aprili 29, 1992, Strasser akiwa kijana mwanajeshi mwenye cheo cha...
 17. Bishop Hiluka

  Usichezee hisia za mwanamke

  Mwanamke UNAYEMCHEZEA leo hii, ndiye ATAKAYEOLEWA na mwanaume mwenzako kesho! Je, unajua mke utakayemuoa wewe anafanywa nini leo na mwanaume mwenzako? Maisha ni mzunguko. Don't play with a woman's feeling...
 18. Bishop Hiluka

  Naomba jibu...

  Kuna maiti ilipatikana chumbani ikining'inia darini, mlango ulikuwa umefungwa kwa ndani na chumbani hapakuwa na kitanda, meza wala kiti. Chumba kilikuwa na ukubwa wa futi 14 mraba. Sehemu ambapo marehemu alifunga kamba ni katikati ya dari, ambapo urefu kutoka pembe zote kutokea sehemu...
 19. Bishop Hiluka

  Ulizaliwa USHINDE...

  Kuna wakati utakutana na kila dalili inayoonesha kuwa unatakiwa kukata tamaa; Huu ndiyo ule wakati unajiuliza hivi "niendelee ama niache?" Ukifika kwenye hali hii inabidi ujilazimishe kujiambia kuwa: "Nakataa kukata tamaa" Usiruhusu hisia za kushindwa zikufanye uanze kupoteza matumaini ya kule...
 20. Bishop Hiluka

  Kwa sababu hatuvioni ndani mwetu, hatuwezi kuwapa wengine!

  Kuna nyakati za magumu na upweke ambazo hutufunza. Ni zile nyakati ambazo unajihisi ukiwa mpweke na kutengwa. Ukihisi ya kuwa hakuna hata mmoja anayekusikiliza. Unapata hisia kuwa upo peke yako japokuwa wapo watu wengine unaoishi nao na licha ya kuwa unatambua kuwa dunia imejaa watu wengi na...

Top