Aisee! Nyerere aliposema mtu yeyote mwadilifu (mchamungu) hawezi kupakimbilia ikulu alimaanisha haya, maana yeye mwenyewe alikaa hapo ikulu miaka 23, anajua aliyoyafanya kabla hajatubu hadharani... Lakini huyu mwingine kila siku anaomba tumuombee utadhani kalazimishwa kuendelea kukaa hapo...