Search results

 1. W

  Jamii Forum haipo tena hewani!

  Nimejaribu kuingia kwenye mtandao wa Jamii Forum, nikakutana na taarifa ya Uongozi wa Jamii Forum, wakidai kuwa wanaboresha huduma na watarejea Very Soon....... Nimekuwa nikijiuliza hivi ile dhana ya Jiwe ya kuonbea malaika washuke toka mbinguni waje waizime JF, kumbe hizo "wishes" zake bado...
 2. W

  Hivi kulikuwa na ulazima wa kutumia risasi za moto kuzuia maandamano ya wanaChadema February 16?

  Tumemsikia Kamanda wa kanda maalum ya Dar, Lazaro Mambo sasa, akitueleza kuwa wale waliiokuwa wakituhumiwa na mauaji ya mwanafunzi, Akwilina, aliyeuawa kwa kupigwa risasi akiwa ndani ya daladala, wameachiwa huru Lakini Mimi sitajikita zaidi kwenye huo uamuzi aliofanya Kamanda Mambosasa, bali...
 3. W

  Rais Magufuli hafai kuongoza nchi yenye mfumo wa vyama vingi

  Nianze bandiko langu kwa kunukuu Katiba ya Jamhuri ya Tanzania, ya mwaka 1977, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2005, ibara ya 3 ambayo inasema hivi " Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania itakuwa ni nchi ya kidemokrasia, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu Nimeanza bandiko langu kwa...
 4. W

  Rais Magufuli amethibitisha kuwa Bunge la Tanzania ameligeuza kuwa rubber stamp yake!

  Kwa wale tuliomsikiliza akilihutubia Taifa wakati wa kuapishwa kwa Waziri mpya wa mambo ya ndani, Kangi Lugola, aliyechukua nafasi ya mtangulizi wake, Mwigulu Nchemba, ambaye ametimuliwa uwaziri, atakubaliana nami kuwa, katika hotuba yake hiyo, Rais Magufuli amethibitisha kuwa Bunge siyo tena...
 5. W

  AG atuhumiwa kulidanganya Bunge, ashinikizwa kujiuzulu

  Katika sakata la korosho linaloendelea, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Dr Adelardus Kilangi, ametuhumiwa kulipotosha Bunge hilo kwa kusema uongo kuwa wao serikali wanatekeleza amri ya mahalama katika hukumu iliyotolewa miaka ya nyuma kuwa ilibatilisha sheria iliyokuwa ikitoa kwa bodi za korosho...
 6. W

  TLS yaeleza kuwa kuchukua pesa ya wakulima wa korosho ni makosa, vyama vya upinzani kutinga mahakamani kudai haki hiyo

  Sakata la korosho limefika patamu....... Ndivyo tunavyoweza kuita hilo sakata la korosho lilpofikia, ambalo wabunge wa mikoa ya Kusini, bila kujali itikadi zao za kisiasa, waliliongelea kwa uchungu sana, katika kikao cha Bunge kinachoendelea, ambapo baadhi yao walitokwa hadi na machozi! Hapo...
 7. W

  Bajeti ya Tanzania imepita kwa mabavu!

  Ndivyo ninavyopasa kusema kuwa bajeti ya Tanzania imepita kwa mabavu. Wabunge wamepigwa mkwara na Spika Job Ndugai, kuwa ni lazima waipitishe bajeti hiyo, kinyume chake watakiona cha moto kwa kuwa Rais atalivunja Bunge mara moja na wabunge wengi majina yao hayatarudi majimboni! Hivi pamoja na...
 8. W

  Hivi Rais Magufuli anapata kiburi chake kutokana na magari ya Polisi ya washawasha?

  Nianze kwa kunukuu vifungu vya Katiba ya Jamhuri ya Muunhano wa Tanzania ya mwaka 1977, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2005, ibara ya 3(1) ambayo inasema "Jamhuri ya Miungano wa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia yenye kufuata mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu Duniani kote kwenye nchi...
 9. W

  Wadau wa JF mnalionaje wazo la Jamiii Forums kujiunga na Kenyatalk permanently?

  Kila mtu duniani hivi sasa anajua namna Dikteta Magufuli alivyoweza kuminya Uhuru wa wananchi wake kujieleza. Akipitisha sheria mbovu za habari kupitia wabunge wake wasiojielewa wa CCM Kwa hali halisi ya nchi yetu kwa sasa, si vyombo vya televisheni, wala si radio na wala si magazeti yanayoweza...
 10. W

  Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu) kuiburuza Basata mahakamani kutokana na kuufungia wimbo wake

  Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kwa jina la Sugu, amesema amewaandaa mawakili wake 6 tayari kwa kuwapeleka Basata mahakamani kutokana na kuufungia wimbo wake unaoitwa Mfungwa na 219 Atakuwa amefanya uamuzi wa busara wa kuiburuza mahakamani Basata ili ikaeleze sababu za kuufungia...
 11. W

  Upimaji samaki kwa rula Bungeni wazua taharuki!

  Jana asubuhi watumishi wa wizara ya uvuvi waliingia kwenye mgahawa wa Bunge bila kupata kibali toka kwa Katibu wa Binge, wala Spika wa Bunge, wala Naibu Spika na kuanza kupima samaki kwa "rula" ambao walikuwa wameshapikwa na tayari kuliwa! Hivi sasa ndiyo Bunge nalo lijionee namna baadhi ya...
 12. W

  Taarifa ya Uongozi wa JF umeleta tumaini jipya

  Nimeiona taarifa ya Uongozi wa Jamji Forum ukisema kuwa watarudi hewani mapema kadri iwezekanavyo na imewashukuru wapenzi wa Jukwaa hilo maarufu la mtandao wa kijamii kwa kuwa wavumilivu Nasi members wa JF tunawashukuru sana Uongozi wa JF kwa kuwa majasiri na kupambana na vitisho vyote vya...
 13. W

  Taarifa iliyotolewa na TCRA ni ya uongo na upotoshaji mkubwa

  Nimeisoma taarifa iliyotolewa kwa Umma na TCRA tarehe 16/6/2018 kwa kile ilichokiita upotoshwaji unaofanywa mitandaoni kuhusiana na kufungwa kwa mitandao ya kijamii na Blogs nchini Tanzania Katika barua hiyo ambayo inakanusha kuwa mamlaka hiyo ya Mawasiliano hawana mpango wa kufuatilia wale...
 14. W

  Rais Magufuli umepotosha hakuna waraka wa kanisa unaotolewa na wanasiasa

  Nimemsikia Rais Magufuli akisema alipokuwa akitembelea ujenzi wa msikiti mkubwa wa BAKWATA hapo majuzi kuwa viongozi wa dini wasiruhusu wanasiasa kuwa ndiyo wasemaji wao Naamini alilipiga hilo "dongo' kuongelea ule waraka uliojipatia umaarufu mkubwa wa kanisa la KKKT uliotolewa wakati wa...
 15. W

  Tuna Rais wa ajabu Tanzania ambaye hajawahi kutokea!

  Hiyo heading ya topic yangu nimenukuu toka kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Mheshimiwa Tundu Lissu, ambaye hivi sasa yupo nchini Ubelgiji, kutokana na kupigwa risasi zaidi ya 30 na vyombo vya dola nchini Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Magufuli ni Rais wa ajabu ambaye hajawahi kutokea Tanzania...
 16. W

  Hivi hii serikali ya CCM kweli wanatumia busara?

  Nchi ya Tanzania kila amayemsema vibaya Magufuli anapata kibano Walianza na Bunge lililokuwa linaonyeshwa Live, alipoingia tu madarakani akalipiga "ban" ili lisionekane Akaja kwenye vyama vyote vya upinzani akiwapiga "ban" kuwa wasifanye mikutano yoyote ya siasa hadi mwaka 2020! Wakati...

Top