Search results

 1. Kibishi

  Msaada, mke wangu anateseka.

  Ahsanteni kwa ushauri wakuu, nitampeleka hospitali.
 2. Kibishi

  Msaada, mke wangu anateseka.

  Kabla hajapata hili tatizo, hali yake ilikuwa nzuri kabisa. Chanzo cha tatizo: Alipata ajali ya baiskeli kwenye mteremko mkali wa mawe, alipakizana na mwanamke mwenzie kwenye hiyo baiskeli. Tatizo linalomsumbua: Akibeba kitu kizito kichwani anasumbuliwa na vitu vinne: 1: Maumivu ya kichwa, 2...
 3. Kibishi

  TRICK: Jinsi ya kuingia jamiiforums.com na kusoma thread mbalimbali.

  Hata hayohayo yalikuwemo yanatosha tu Mkuu kwa ajili ya kujisomea. Ila mpaka hapa tupo kwenye stage nzuri. Muda si mrefu tutaanza kucomment na kuanzisha uzi.
 4. Kibishi

  TRICK: Jinsi ya kuingia jamiiforums.com na kusoma thread mbalimbali.

  JF ilianza kurudi kuanzia jana saa 4 asubuhi, wakuu wasiojua wakaanza kuniambia natafuta kiki, kiki zitanisaidia nini?, kwanza huwa sitakagi mazoea na member yeyote wa JF, na wala sina shobo kwa member yeyote wa JF. Tumekuatana mtandaoni, tuachane mtandaoni.
 5. Kibishi

  TRICK: Jinsi ya kuingia jamiiforums.com na kusoma thread mbalimbali.

  Hapana Mkuu, mimi siyo muuza smartphone. Nafikiri umeuliza hivyo kwa sababu ya mambo mawili: 1: Kwenye huu uzi nimetaja sana "wauza smartphone tukutana hapa" 2: Hapahapa KT, kuna uzi wangu mwingine unasema "wauza smartphone tukutane hapa", huu hapa...
 6. Kibishi

  TRICK: Jinsi ya kuingia jamiiforums.com na kusoma thread mbalimbali.

  Hiyo trick ingekuwa na kazi kama JF ingekuwa haipatikani, ningejua kama imerudi, nisingeleta hii trick.
 7. Kibishi

  TRICK: Jinsi ya kuingia jamiiforums.com na kusoma thread mbalimbali.

  Hakikisha hauja-save jamiiforums.com katika offline mode. NJIA: -Ingia google -Tafuta neno 'wauza smartphone tukutane hapa' -Achana na search results zote, click search result yenye link ya www.jamiiforums4.rssing.com. -Ukiwa www.jamiiforums4.rssing.com, shuka halafu click 'wauza smartphone...
 8. Kibishi

  Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

  Inaniletea mauzauza gani?, inaniletea mauzauza mabaya au mazuri?. Ukifafanua vyema nitaibadilisha.
 9. Kibishi

  Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

  Huwa sina time ya utani, ni serious Mkuu, leo asubuhi JF ilikuwa inapatikana, mara haipatikani.
 10. Kibishi

  Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

  Nani? We' unadhani natafuta kiki?, umaarufu utanisaidia nini?, sipo hapa kwa ajili ya sifa. Nipo hapa kwa ajili ya kuhabarika, kuhabarisha, kuelimisha, kuelimika na kuburudika. Ni kweli ukiingia JF saa nyingine inakuwa iko ON, saa nyingine iko OFF. Nimeshuhudia kwa macho yangu, wala sizushi.
 11. Kibishi

  Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

  HEWALA. ASTAGHFIRULLAH. Neno 'umbea' limekukaa sana mdomoni mwako, maneno ya kike yamekukaa sana mdomoni mwako, acha hizo, wanaume huwa hatuishi hivyo.
 12. Kibishi

  Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

  Pole sana Mkuu. JF kwangu ilikuwa ni darasa la kupata maarifa yaliyoshiba, hata kama nilikuwa siko online kwa kucomment mijadala mbalimbali, nilikuwa offline nagoogle madini yaliyoshiba ya JF, sasa hivi hata ukigoogle hupati kitu, dah!!
 13. Kibishi

  Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

  Unanitukana Kikenya siyo?, yaani kukaa siku mbili tatu Kenya umeshajua Kikenya?. Na mimi nikutukane Kikenya? Umbwa ghasia takataka we! (joking)
 14. Kibishi

  Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

  Mimi leo imeniirect kwenye jukwa la matangazo madogo, kila thread niliyokuwa naingia inakubali, hapa kuna namna, inaelekea inawezekana kusoma nyuzi za JF kwa kutumia link nyingine.
 15. Kibishi

  Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

  Mkuu, mimi huwa sipendagi utani. Leo nimeingia JF kabisa kutokea jamiiforums4.rssing.com.
 16. Kibishi

  Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

  Tuwe wavumilivu wakuu, huenda ikarejea soon as possible, ukiona inapatikana mara haipatikani, ujue ipo karibu kuja. Sure, wewe ndiyo umesema true.
 17. Kibishi

  Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

  Haki ya MUNGU tena @Madame S, niliipata vizuri kabisa. Niliipata kupitia search results za google, nikaingilia kwa www.jamiiforums4.rssing.com. Kama nimeiona peke yangu nchi nzima, basi mwaka huu nitakuwa na bahati sana.
 18. Kibishi

  Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

  Niliingia jamiiforums.com nikakuta iko active, sasa hivi naingia tena nakuta tangazo lilelile la muendelee kuwa wavumilivu, nafikiri ipo karibu kurudi.
 19. Kibishi

  Uufff!!!!, JamiiForums imerudi hewani.

  Niliingia jamiiforums.com nikakuta iko active, sasa hivi naingia tena nakuta tangazo lilelile la muendelee kuwa wavumilivu, nafikiri ipo karibu kurudi.

Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila. Cast your vote!

Top