ERIC SHIGONGO
DUNIA HAINA USAWA
Hakukuwa na utulivu nchini Kenya, kila mtu alitaka kujua mahali ndege ya rais wao ilipokuwa. Wabunge wakapata cha kujadili, kila mmoja hakufahamu ukweli, rais wao alisema kwamba Tanzania ilihusika katika upotevu wa ndege hiyo lakini kitu cha ajabu, walipoulizwa...