Jf ni mali ya Mello mkuu, muache afanye maamuzi ambayo anaona ni sahihi.
Mi ningekushauri wewe uende nje ya nchi ukafungue forum yako..tutakuja kujiunga.
Tatizo lipo kote kote. Jinsi unavyoanza ndo jinsi unavyopokelewa. Kabla hamjafahamiana vizuri tena inawezekana siku siku ya pili tu unamuomba uchi unategemea nini?
Jinsi unavyomuaproach na yeye atakupeleka hivyo hivyo. Jaribu kwenda kistaarabu ukiwa na nia ya kujenga mahusiano mazuri..hutaona...
Wapo wa mitandaoni ambao sio wabaya. Mitandao imejaa showoff zaidi,wadangaji na wanaojiuza wapo wazi wazi..so mnapojudge kulingana na mambo pamoja na stories mnazoziona mitandaoni sio sahihi.
Binadamu wazuri na wenye maadili bado wapo.
Ndoa kudumu ni kitu kingine lakini harusi zipo na ni nyingi. Watu wanaoa na kuolewa. Tatizo ni kwamba mnaangalia mambo ya kwenye mitandao,mnajudge watu kimtandaotandao..wanawake mnaowaona mitandaoni ndo mnahisi wanatafuta kuolewa..nje ya mitandao maisha ya kawaida yanaendelea..kuna wasichana...