Search results

 1. Uchira 1

  NARUDI NYUMBANI TANZANIA KUUNGANA NA JAMIIFORUMS

  Napenda kuwashukure kaka zetu na dada zetu kwa kutusitiri kwa ***ndi cha taabu za kufungiwa JF, tunawashukuru sana, tunarudi JF maana imefunguliwa na tunaweza kufurahia huduma zake tena . tunawakaribisha sana JF kwa mada mbalimbali zenye kuelimisha. kufurahisha na kuliwaza. kenyatalk daima...
 2. Uchira 1

  NETFLIX kwenye TV

  Kama kichwa kinavyojieleza naombeni mwenye kujua ama kufahamu hiyo NETFLIX kwenye TV inatumikaje na je unaweza kuitumia kwa internet peke yake au kunanjia nyingine zaid ya internet inaweza kutumika na kuonesha vile uvitakavyo? Natanguliza shukrani wakuu
 3. Uchira 1

  WELCOME TO TANZANIA TRADE EXHIBITION (SABASABA)

  Ndugu zangu KENYA napenda kuwakaribisha katika maonyesho ya kibiashara alimaarufu Saba saba ikiwa ni sehemu ya kuonesha bidhaa mbalimbali, technolojia na huduma mbalimbali mnazotoa pia kuuza huduma na bidhaa kutakuwepo. Maonesho hayo yataanza tarehe 01 July 2018 na yatadumu kwa muda usiopungua...
 4. Uchira 1

  NIMEWAKUMBUKA SANA

  Nikiwa kama mwana jf nasena nimewakumbuka na nimewamiss sana wakuu wa uzi mbalimbali hasa wale wa kazi wa karibu uzi zote za maana na wale wakali wa uzi za story kalikaili na wale wakali wa mada na wakoroaji wakuu hasa usipo waunga mkono kwa kile waaminicho wao, wale wakali wa uzi wa kupumzisha...

Top