Search results

 1. B

  Wakimbizi anzeni kufungasha virago vyenu!!

  Hatujapata kauli ya serikali hatujui nini kitatokea kesho. Bora tubaki huku.
 2. B

  BILA KUMUNG"UNYA MANENO, RUSSIA WATACHUKUA WORLDCUP 2018

  Russia haina uwezo huo.
 3. B

  Waraka wa Pasaka wa KKKT

  Mambo ya waraka hayajaanza leo. Nakumbuka ukisoma biblia kulikuwa na waraka zimeenda shule sana wakati wa Ezra, Nehemia . kuna sehemu Biblia inasema majawabu mengine hupatikana kwa Waraka
 4. B

  Nimefika Uhamishoni:Naomba Kiti

  Pale kuna mtego wa kukupeleka mahakamani na wao kushinda kesi sio suala la ada ila ada wameiweka kama kigezo cha kushinikiza watu wajisajiri.
 5. B

  Mod's tunaomba jukwaa la matangazo madogo

  Admin naomba ongeza jukwaa la sheria. Pia naomba utafute namna ya kuhakikisha habari mbalimbali za magazetini, TV na Radio zinaandikwa kila siku hii itaongeza hamasa ya jukwaa kuchangamka na kukaribia uhalisia wa JF ya kina invisible. itakusaidia kirahisi kama utapata mods wa kutoka bongo...
 6. B

  WaTanzania kujeni Hapa Kidogo

  ukweli unauma sana. wenzetu wanakimbilia kukopa halafu mizigo wanabeba walalahoi
 7. B

  Akina Mwigulu nao wamehamia KenyaTalk?

  Mimi nakumbuka nilishawahi ku-report taarifa iliyosaidia kukamatwa kwa wauwaji ambayo niliipata mahala mtaani nikairusha JF baada ya siku kadhaa nikapta inbox msg ya kunishukuru kwamba habari ile imewasaidia sana. kwa hiyo kufutwa kwa JF hapa kilichotokea ni loose loose situation. Naamini...
 8. B

  Mods this is injustice, unfair and uncomfortable.

  Ulishawahi kuona wakimbizi wanachanganywa na raia?
 9. B

  Tuliotoka JamiiForums tukutane hapa...

  Just landed from JF this morning. acha tuone mwisho wake

Top