Search results

 1. Chimgege

  Thank You Kenyans for Asylums

  I'm writing to thank you all Kenyans who welcomed us when we were in exile. Our Jamii forum has back, so we will see you next time. No one knows what can happen because our leader is not predictable. We had good time here so we will not forget your generosity!
 2. Chimgege

  They have gone let's Watch Football Now.

  Kuondolewa mashindanoni kwa timu ya Argentina yenye Leon Messi pamoja na Portugal yenye Ronaldo kutarudisha ladha halisi ya mpira wa kombe la dunia. Mashabiki wengi walikua wanafumba macho na masikio yao pale lilipoibuka suala la kumzungumzia mchezaji mwingine aliyefanya vizuri nje ya Messi na...
 3. Chimgege

  Tanzania yakiri kuwa na Chikungunya, Dengue

  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto nchini Tanzania imekiri kuwepo kwa magonjwa wa homa ya Chikungunya na Dengue katika taifa hilo kubwa kabisa Afrika Mashariki. Akitoa taarifa kwa wadau na waandishi wa habari mapema leo (Juni 25), Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amebainisha...
 4. Chimgege

  Hakika Dini Zetu za Asili Zilikuwa na Nguvu.

  Kabla ya ujio wa wageni kutoka Ulaya [Wazungu] na Mashariki ya Kati [Waarabu] jamii za watu Waafrika zilikuwa na dini pamoja na tamaduni zao bora na zenye nguvu. Katika dini mbalimbali za Kiafrika ambazo huitwa na wageni pamoja na wafuasi wao kuwa matambiko na mizimu. Maombi fulani yalifanyika...
 5. Chimgege

  Kuvaa Nusu Uchi

  Katika jamii za Kiafrika hasa Afrika Mashariki kumekua na madai ya kuwa kwa mwanamke kuvaa nguo zinazofunika baadhi tu ya sehemu za mwili wake na kuacha sehemu nyingi zikiwa utupu sio utamaduni wa Kiafrika Wewe mwanakijiji unasemaje kwa hilo, je ni kweli? The followings are African girls &...
 6. Chimgege

  Kadrinali Pengo Anaondoka au Anang'olewa

  Kumekuwa na taarifa za kuteuliwa kwa Askofu mpya Mkuu mwandamizi kwa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam, kama ni hivyo nafasi ya Kadrinali Pengo iko wapi, je anajiuzulu au anaondolewa?
 7. Chimgege

  Hakika weusi ni Uzuri

  Black is beauty!
 8. Chimgege

  Msaada kwa Wale Wanaojua Kuhusu Ada za wale ambao hawakuchaguliwa Kujiunga Form 5

  Mimi nia mwanangu amechaguliwa kujiunga na Ordinary Diploma in Nursing and Midwifery huko Bugando. Swali langu ni kuhusu ada za hawa ambao hawakuchaguliwa kwenda Form 5 je, ni kama zile zile?
 9. Chimgege

  Danger is Real but Fear is Choice

  First of all I need to greet you and wish you good Sunday after Eid el-fitr celebration for our Muslim brothers and sisters. Here I am a Tanzanian who has experienced the threat we are facing from our modern governments, that intending to silence us completely. I do real sensing the danger our...

Top