Search results

 1. Energizer

  TV guard

  Wadau, saidieni hapa. I have not been using a tv guard. So my H/T juzi ime kuwa affected na stima juu ya power fluctuations. Fundi akai fufua. So I have bought a tv guard. Swali ni, can I plug in the tv guard kwa socket kwa ukuta, then I plug an extension kwa tv guard. I presume this will guard...
 2. Energizer

  New level of being beta...

  Copied from Mukuru.... There is this man who has always been interested in having a relationship with me.He has never given up,even when i send him away.He would try,i would say no,he would let me be,then he would come back again. Coincidentally every time he would call me up,he would find my...
 3. Energizer

  Sonkore....

  See your ngafana.....
 4. Energizer

  Electricity

  Wakubwa, yesterday we had a power outage. At that particular time, my tv and home theatre were on. After a minute or so, we had a very strong lightning followed by thunder. Afterwards, power was restored. I put my tv on, but hometheatre hasnt been powering on. I tried to power the kplc...
 5. Energizer

  Little pleasures

  @Dennis young next time ulete real food. Hapana chakula ya quail.. The after math..... Kisha matembezi kwa akina @Cogito ergo sum . Mkubwa pia... Kisha beach walk kiasi.... There after kafobe kashike kama ghost
 6. Energizer

  Sim Tool Kit

  Wadau, I have htc 0ne x9(ya peasants). So the last one week, the sim tool kit has been way too slow. Mpesa transactions originating from my end e.g withdrawal, sending money, lipa na mpesa, etc have proved to be hell. All other apps are perfectly OK. The phone doesn't freeze. Has any one...
 7. Energizer

  Mayans MC

  Die hard wa Sons Of Anarchy, do you think this will beat SOA?
 8. Energizer

  Zouk music

  I am an ardent Rhumba fun. I just discovered Zouk. This music is beautiful. Super beautiful. See an example below. Kwanza this mama called Phyllisa Ross, unasafisha mecho ukienjoy muziki. This music is something else. This sounds more like Reggae.
 9. Energizer

  Work Place Registration Certificate

  Hello Esteemed Talkers & some whiners, Ebu nisaidieni hapa. I need consultants who do these types of audits in Nairobi: 1. Fire audits, 2. Risk audits, 3. Health & Safety audits, If you know someone or your firm does this, please nijulishe nikupe mbiashara ASAP. Asande
 10. Energizer

  GR5 2017

  Wakubwa, saidieni hapa. Current peasant cum future birrionare anataka kununua haka kasimu. Lakini nimeona difference in prices nikashangaa. Hizo za phone place na phone store Kenya ni fake ama ?? Their prices compared to the Safaricom'S price is way too much. A whooping 11K.
 11. Energizer

  kitunguu

  Kwa wale mko holiday, mjibambe...meanwhile, wacha ninukishe kitunguu, niweke dhania, hoho alafu nitafte tortoise ni marinate....
 12. Energizer

  Ole Weru's story of giant

  From my high spending during the Dithemba holidays, the earliest am expected to recover from financial sege-mnege-ness is somewhere between Valentines and Easter. Meanwhile, am surviving in this Nyairofi due to my renewed relationship with Mshwari and also the signing of a new CBA with WaJothefu...
 13. Energizer

  Rhumba Nostalgia, Rhumba Bakulutu, Rhumba Ezalikaka

  Oliver Ngoma-Bane Mbilia Bel-Eswi yo Wapi Tabu Ley Rochereau-Cest Comme Ca La Vie Tshala Mwana-KoKola Madilu System-RTC Riva Sam Mangwana-Fatimata https://youtu.be/b1lFPbLKbtM?t=1 Mose Fan Fan-Papa Lolo https://youtu.be/AvjTpazUhVQ?t=9 Something to wind your week. To cool you...
 14. Energizer

  @Culture mnusa ngodha

  Nimekuwa nikipita mukuru kwa secrets nikaona update fulani, akili ika kumbuka huyu @culture. Kuenda comments nikaona mseh ashamtaja..Talkers u win !!! Mko all over kama upuuuus
 15. Energizer

  Ayayayaya..Birrionare things

  Yaani mse ame spend hivi ?? Usiku mmoja ??? Hapa ndio unaanza kuimba "usinipite, unapo zuru wengine naomba usinipite". Na saa hizo unalia machozi 30 litres
 16. Energizer

  Walimu

  Hapa kijijini sija sikia msee akisema yeye ni mwalimu. I am sure wako. Wanasoma tu threads waki chungulia kama huyo jamaa kwa avatar yangu. Najua tuna jamaa wa G4S kama @pamba , dakitari kama @Luther12 , Mganga kama @jumabekavu , na wengine wooooote ni mabirrionare. Na twa jua nyinyi ni ma a...
 17. Energizer

  Officially

  It is now officially confirmed that mimi ni VE...sasa hapa ndio nataka niende meet the people tour . All 47 counties .Lazima watu wajue hii mambo.Hata naweza enda demonstration ya Cord solo. Hata naweza replace Mutunga sasa...Kwanza juzi vile wazae wameamka wakijipata wametoka VE hadi villagers...
 18. Energizer

  Safaricom Saitan

  Kuna Friday fulani nimetoka hustle. Wiki imekuwa mrefu kweli kweli. Kukaribisha wikendi nikaamua kuingia ka pub fulani tao. Nikaanza kuchapa poison yangu mdogo mdogo. Hiyo time niko na 500/-. Kuna pesa mseh alikua atume juu deal ilikua ishaiva, kazi imemalizika sasa ni pesa tu. Na ali promise in...
 19. Energizer

  Umeffi Tu

  Lakini peasants tuna shida mingi za kujiletea . So wasee Kibra waliamua kuenda Tear Gas Monday. Resultant effect ikawa business za Kibich kufungwa, mashule kufungwa na ni hao hao wanakuwa affected !! When will guys shake their heads so that their pea sized brain zi vibrate zianze kufanya kazi ...

Top