Nimejaribu kuingia kwenye mtandao wa Jamii Forum, nikakutana na taarifa ya Uongozi wa Jamii Forum, wakidai kuwa wanaboresha huduma na watarejea Very Soon.......
Nimekuwa nikijiuliza hivi ile dhana ya Jiwe ya kuonbea malaika washuke toka mbinguni waje waizime JF, kumbe hizo "wishes" zake bado...