Recent content by Tindo

 1. T

  Mwigulu amwagwa Uwaziri Mambo ya Ndani, Lugola aula uwazi huo

  Mtu kama Mwigulu akikutana na dhahama tena za kimamlaka roho yangu inafurahi ile mbaya. Katika watu waliondesha udhalimu nchi hii kupitia madaraka yeye ni mmoja wapo. Jamaa ana roho mbaya na mlevi wa madaraka. Hawa ndio siku utawala wa kulindana ukiondoka wanapaswa kuishia jela.
 2. T

  Adam Malima; Hili Suala la Tarime Unajishushia Hadhi

  Mkuu habari ndio hiyo. Halafu kitendo cha kumuona RC tu anatolea maelezo hilo tukio la uhalifu nikajua waongozaji wa watu wasiojulikana wameanza kujitokeza. Nimeona kule twitter John Heche akitolea mashaka RC kuongelea hilo jambo, kuna jamaa naona ni huohuo usalama wa wasiojulikana wakamtishia...
 3. T

  Comrade wangu Mbunge John Heche katika hili la Peter Zacharia nakukatalia na acha Siasa na Ukabila tafadhali

  Hakuna asiyekuwa na bei dunia hii. La muhimu una bei kwenye nini.
 4. T

  Mmiliki wa mabasi ya zakaria ashikiliwa kwa kuwajeruhi maofisa usalama kwa bunduki

  Kuna jamaa huko twitter kanichekesha kama ww, anasema ukiwawahi kesi, wakikuwahi ni watu wasiojulikana.
 5. T

  Comrade wangu Mbunge John Heche katika hili la Peter Zacharia nakukatalia na acha Siasa na Ukabila tafadhali

  Wakiendelea kutandikwa risasi hivihivi, lile kundi la wasiojulikana litajitokeza na tutawatambua washirika wao hata humu mitandaoni.
 6. T

  KWA TULIOKUWA JAMII FORUM TUSIWE NA KINYONGO

  Ukiingia jf original kuna tangazo itarudi leo hewani. Lakini hakuna chochote kwenye display hata ile read only! Lakini ukweli ulio dhahiri kule hakuwezi kuwa salama tena hata kama wachangiaji ni wengi. Hili jukwaa la KT litaendelea kuwa salama na mchepuko pindi mizengwe ikianza kule home.
 7. T

  JF rasmi hewani leo

  Hata kama itarudi huku bado kutaendelea kuwa salama zaidi kuliko huko home. Na jf ya huku itakuwa mchepuko wa hiyo ya huko hm kwenye mizengwe.
 8. T

  Wanaume wa mara hatutekwi kizembe. (Picha)

  Hili suala la Zacharia limejaza watu wa kitengo humu kwenye social media, wanapiga mikwara ya hatari. Naona kuna wanaomshambulia Heche kishenzi. Eti wanasema akihoji chochote kuhusu hilo jambo harudi bungeni. Hivi bungeni kuna kipi cha maana mpaka mtu akutishie hutarudi?
 9. T

  Comrade wangu Mbunge John Heche katika hili la Peter Zacharia nakukatalia na acha Siasa na Ukabila tafadhali

  Sioni kibaya alichozungumza Heche. Yeye alichohoji ni mbinu iliyotumika. Mbinu hiyo haina tofauti na zile zinazotumika kunyamazisha watu wasio na hatia. Ni kweli Zacharia ni mchafu, kwanini asikamatwe na polisi kwa njia za kawaida , badala ya watu waliovaa kiraia tena usiku? Hiyo mbinu ya watu...
 10. T

  KWA TULIOKUWA JAMII FORUM TUSIWE NA KINYONGO

  Serekali ndio inayopaswa kuthibitisha haihusiki. Lakini kwa bahati mbaya yenyewe ndio mshukiwa, na inapotakiwa kuja chombo kingine chenye uwezo kuliko serekali kudhibitisha, serekali hugeuka mbogo kukatalia uchunguzi huru. Katika mazingira haya watanzania wanataka ushahidi gani tena?
 11. T

  Nani kaelewa agizo hili la waziri mkuu Kassim Majaliwa?

  Mkuu Idawa1 kama ww ni mzoefu hii amri si mara ya kwanza ndani ya nchi hii na mara zote imekuwa ikigonga mwamba. Ni kwanini hii amri itakufa kifo cha mende? viongozi wanaopaswa kusimamia hii sheria ndio vinara wa kuivunja.
 12. T

  Mmiliki wa mabasi ya zakaria ashikiliwa kwa kuwajeruhi maofisa usalama kwa bunduki

  Ili nikuelewe vizuri kwa huu utetezi wako, kuna matukio mengi sana ya jinai huwa yanatokea hapo Mara, mkuu wa mkoa anakuwa wapi kutolea maelezo? Au hicho cheo chake kinachagua cha kutolea ufafanuzi? Hicho cheo cha mwenyekiti wa usalama wa mkoa ni kuingiza siasa chafu kwenye taaluma. Na ni...
 13. T

  Mmiliki wa mabasi ya zakaria ashikiliwa kwa kuwajeruhi maofisa usalama kwa bunduki

  Nani atachukua upande kwa mambo ya kipuuzi? Sana sana wenye akili wanajiuliza inakuwaje suala linalopaswa kutolewa maelezo na jeshi la polisi linatolewa maelezo na RC? Wakati mwingine yanafanyika mambo yenye nia ovu na kusababisha watu kuhoji weledi wa wenye mamlaka. Sasa watu wakionyesha...
 14. T

  Adam Malima; Hili Suala la Tarime Unajishushia Hadhi

  Mkuu kwani huyo Adam Malima ana heshima yotote anayoilinda. Haimaanishi mtu akiwa na madaraka ana heshima. Huyo Malima ni mmoja wa watu wenye siasa za majitaka na anaeleweka. Ukitaka kujua hilo jambo lina mkono mchafu angalia anayetoa taarifa ya tukio ni RC ns sio RPC.
 15. T

  Mmiliki wa mabasi ya zakaria ashikiliwa kwa kuwajeruhi maofisa usalama kwa bunduki

  Hii hadithi inafurahisha. Bilionea kawapiga risasi watu wa idara ya wasiojulikana, kisha mkuu wa mkoa ndio anatoa taarifa ya tukio lenyewe!?

Top