Recent content by Rogart Ngaillo

 1. Rogart Ngaillo

  Mods this is injustice, unfair and uncomfortable.

  Mimi kama "mwanakijiji mupya"...mlafi wa githeri kutoka TZ,nasema ya kwamba,sitaki ona nawekwa boma moja na hii watu ya Kenya...maana itafagia githeri yoote!
 2. Rogart Ngaillo

  Ipee maneno hii picha

  MBOWE: "....Ndo nakuchana hivyo mamae... hilo libajeti lenu lililopindapinda hata mkilipitisha ahami mtu bongo hii....kawaambie na mafisi wenzio,mmeshatukomaza hadi ndevu zinagoma supablack, simblisi nyie..." TULIA: "Jomoni Muheshimiwaa..." MBOWE: "Aaagh! kwenda kule..."
 3. Rogart Ngaillo

  Kwanini 'Kuugua' kwa Ruge Mutahaba 'Figo' zake na Kulazwa huko India kumekuwa Siri?

  BASHITE akiifaham hiyo hospital aliyofikia si anaweza wahonga manesi wa-replace figo za jamaa na za panyabuku ati! IBAKI kuwa siri tu...
 4. Rogart Ngaillo

  Maisha ya UKIMBIZI

  Hahahaaa... UKIMBIZINI,makande yanaitwa "githeri" wacha niyale tu!

Top