Recent content by King kan

 1. K

  Ahsante sana Rais wangu Kagame wakati wakitusema Warwanda Sisi tunatengeneza Magari wao wanahangaika na Korosho!

  https://www.economist.com/business/2018/06/30/vw-opens-rwandas-first-car-assembly-plant?fsrc=scn/tw/te/bl/ed/vwopensrwandasfirstcarassemblyplantfirstgear @GENTAMYCINE kaka soma hiyo article
 2. K

  ALI KIBA ACHAMBUA UDHAIFU WA HOJA ZA MWANASHERIA MKUU SWALA LA EXPORT LEVY YA KOROSHO

  Huyu Ali Kiba hawezi kujiunga huku? Huyu Ali Kiba anaflow sheria kama Tundu Lissu. Huyu jamaa yupo vizuri na kwa kiasi fulani anasaidia sana kupunguza pengo la kukosekana kwa Lissu.
 3. K

  Ahsante sana Rais wangu Kagame wakati wakitusema Warwanda Sisi tunatengeneza Magari wao wanahangaika na Korosho!

  Hayo magari yatanunuliwa na Wanyarwanda pekee au watu wengine watakaolazimishwa. Gharama za uzalishaji wa hayo magari zipo juu zaidi Rwanda kuliko gari hilo hilo mahala pengine duniani. Na hii kwa sababu parts zinatolewa South Africa na kusafirishwa hadi Mombasa halafu baadae zinapelekwa kwa...
 4. K

  Tetesi:Ubungo panajengwa daraja sio interchange kama ilivyokuwa plan ya kwanza.

  Soma hiyo habari. Ni jambo liripotiwa serikali ikalikanusha. Tusubiri tuone itakuwaje.
 5. K

  JAMIIFORUMS INATIA HURUMA.

  Kama ni hivyo kwaheri JF
 6. K

  IVI NI KWELI TBC MMESHIDWA.

  Mnapata wapi ujasiri wa kuangalia mpira TBC?
 7. K

  Fastjet shares nosedive as cash crisis threatens survival

  Tatizo hapa si Tanzania ni Zimbabwe. Inaonekana fastjet operations kwa Zimbabwe zinakula pesa tu bila kuingiza pesa za maana. Nawaombea wasife hawa jamaa. ATCL na Precision Air bila Fasjet itafanya wasafiri wapate tabu sana
 8. K

  MSANII ALI KIBA AMVUA NGUO WAKILI ALBELT MSANDO: UTEUZI WA UTOUH KUWA MWENYEKITI

  Huyu nguli aliyetoa haya maelezo nimekubaliana naye bila kusita. Amefafanua vema kama ambavyo mawakili wasomi nguli kufanya.
 9. K

  Pizza

  Ngoja nije pm. Ila inabidi iwe next weekend
 10. K

  Pizza

  Naomba offer kwa mujibu wa sentensi ya mwisho. Mimi huelewa zaidi practical
 11. K

  Tanzania SGR updates

  Ujenzi ni kweli unaendelea. Kwa pale Gerezani shughuli zinaendelea na watumiaji wa treni wanaweza kushuhudia pembezoni mwa reli ujenzi wa nguzo ukiendelea
 12. K

  Kwanini urembo wa kuvaa 'kikuku' kufananishwe na kutoa tigo?

  Maelezo bila picha ya mguu wa bia ni uzushi
 13. K

  Hi ya Etihad Airways kufuta direct route ya Dar-Abudhabi ni ya kweli?

  Hii taarifa ni ya mashaka. Ukifanya booking kwenye site yao wanakubali

Top