:):):):eek::eek::eek::rolleyes:nacheka lakini kwa mshangao hichi kizee mbona tafiti za mwanzo zilifanywa na twaweza hii hii??na zilikua halali kisheria,kwanini matokeo yamebadilika mara hii??au ni twaweza nyingine?
Kama wewe ni mpenda soka na unafuatilia kwa makini toka kitambo kidogo kuna kitu utakuwa umegundua, Maandishi ya aina tofauti kila kombe la dunia.
Hapa kwa watundu wa simu wanaelewa sana FONT STYLE hii ni aina ya maandishi au mwandiko. Kombe la dunia2018 kule Urusi mwandiko unaotumika...
Asante sana kwa comment nzuri,tajiri m1 ana wafanyakazi zaid ya 100,wote wanamtegemea vipi ukimfilisi umeumiza wangap?
Maskini anaweza vip kujenga nchi bila matajiri
Akili za upinzani wa kijinga ndo mawazo yao,akifanya kitu hata kma ni faida kwa wengi,utaona haina maana,akifanyiwa cha level yake ooh anabagua matajiri
Mh!!!!hivi kwanini wajinga tz hawaishi...unaweza vip kuandika utumbo ka huo?wewe unafaidi nini kuteuliwa kwao?mbwa koko wewe,UTAPATA TABU SANA KWA UJINGA HUO
Kenya wanatengeneza magari,Uganda tena ya solar,sasa ni zamu ya Rwanda,kwanini sisi hatumo na tunapiga kelele kila siku nchi ya viwanda. Nchi inayovutia wawekezaji.....kwanni hatupati mashavu kama haya?