Recent content by Jackal2

 1. J

  Dili La Dola Bilioni Nne

  NYEMO CHILONGANI DILI LA DOLA BILIONI 4 Sehemu ya Kumi na Moja. Kwa Richard ulikuwa mtihani mgumu mno, hakuamini kusikia kauli kama ile kutoka kwa msichana aliyekuwa na sura mbaya kama Upendo akilazimisha kuwa naye kimapenzi. Kwake lilikuwa suala gumu mno, hakuwa tayari kuwa na msichana huyo...
 2. J

  Riwaya:Dunia Haina Usawa

  Baada ya kukuona uko Ban ndio nikakutumia na huku angalau usiwe mpweke.Kwani nimekosea?
 3. J

  Riwaya:Dunia Haina Usawa

  ERIC SHIGONGO DUNIA HAINA USAWA Hakukuwa na utulivu nchini Kenya, kila mtu alitaka kujua mahali ndege ya rais wao ilipokuwa. Wabunge wakapata cha kujadili, kila mmoja hakufahamu ukweli, rais wao alisema kwamba Tanzania ilihusika katika upotevu wa ndege hiyo lakini kitu cha ajabu, walipoulizwa...
 4. J

  Wasiojulikana hawatambuliwi na serikali hivyo ni majambazi/wauaji tu

  Wasiojulika wakijulikana wanatetewa kwamba ni TISS on duty.Rejea sakata la tajiri Zakaria!
 5. J

  TAASISI ILIYOTOA TUZO KWA JIWE KUMBE NI YA TANZANIA

  Mkuu ungeweka na source ili tuweze kuitupia huko!
 6. J

  Riwaya:Dunia Haina Usawa

  Shunie kipi kimekusibu huko JF?Naona watumikia ban!
 7. J

  Riwaya:Dunia Haina Usawa

  ERIC SHIGONGO DUNIA HAINA USAWA “Mkuu! Kuna taarifa kutoka nchini Ubelgiji!” alisikika mwanamke akizungumza kwenye simu. “Taarifa gani?” aliuliza Ojuku. “Bokasa ametoroshwa hospitalini!” alisema mwanamke huyo. Ojuku akashtuka, akasimama pale alipokuwa, akauliza tena juu ya kile alichoambiwa...
 8. J

  More questions than answers on Costech/Twaweza poll saga

  Utawala wa Nduli IDD Amin Dada
 9. J

  Kwenye house decoration, kwanini Africa tunapenda artificial flowers?

  Artifial flowers yanadumu .Yanaweza tumika miaka hadi miaka ,mfano Christmass Tree.Fresh ukishatumia Mara moja ndio imetoka.Hiyo huchangiwa pia na suala la kiuchumi.Ni upuuzi wa kiwango cha degree 3 /PHD ,kwa mwafrika kununua fresh flowers kila mwaka wakati hata mlo wake kwa siku ni wa...
 10. J

  Riwaya:Dunia Haina Usawa

  ERIC SHIGONGO DUNIA HAINA USAWA Ojuku aliambiwa kwamba Bokasa alikuwa nchini Ubelgiji, hakutaka kuona mwanaume huyo akikimbia na kujificha kama ilivyokuwa kwa marais wengine wa Afrika, hivyo akaagiza watu kuondoka kuelekea nchini humo kwa ajili ya kujua mahali alipokuwa na kumkamata. Hilo...
 11. J

  Riwaya:Dunia Haina Usawa

  Tunaendelea huku
 12. J

  Wanatendwa haya kadamnasi,vipi huko vyumbani.

  Mfalme Suleiman aliyaona hayo ni kama vile alitupa jiwe gizani",Kuna jambo linalohuzunisha ambalo nimeona chini ya jua, aina ya kosa linalofanywa na watawala:+ 6 Ujinga huwekwa katika vyeo vingi vya juu, lakini matajiri* hubaki kwenye vyeo vya chini."Mhubiri 10:5-6
 13. J

  Rais mdogo zaidi duniani aliyeishia kunywa 'mataputapu’

  Ila huyo jamaa huyo historia jinsi ilivyotata akiandikia kitabu kitamtoa kimaisha!
 14. J

  PENSIONERS JIANDAE, NAOGOPA YAJAYO.........

  Inahitaji Upopompo wa kiwango cha degree au PhD kabisa ,kutetea Sera na hila za Jiwe!
 15. J

  PENSIONERS JIANDAE, NAOGOPA YAJAYO.........

  Ameandika ukurasa mzima wewe umeandika maneno saba tu kumjibu .Amepata like 1 wewe umepata like 7.

Top