Recent content by Dave Mtzd

 1. Dave Mtzd

  Wanawake watatumalisa

  Nimefurahi kusikia huko poa. Naendelea kuenjoy Kenya Niko hapa kilifi kwa sasa. Then Nina plan ya kufika Nairobi kabisa. Nilipofila Kenya nikafufua na hii ID yangu. I truly miss this forum. Kutania ni sawa na neno maskhara it simply means I was joking. Unaishi mji gani kwa hapa Kenya Mrs Shosho?
 2. Dave Mtzd

  Wanawake watatumalisa

  Wahooo!! Mrs Shosho habari ni nzuri tu best. Nimefurahi kukuona tena hapa its been a long time since we lost touch. Mzima wewe lakini? Suala la meal nilikuwa natania tu.. Usijali!
 3. Dave Mtzd

  Ona huyo

  Hivi Kenya kuna warembo kweli? Been there before ila sikuona manzi mkali. Hell no!
 4. Dave Mtzd

  Wanawake watatumalisa

  Nimehamia kwa Kenyatta hapa kwenu njaa tu ndio inanitesa hapa Kenya. Only in Kenya eti chapoo Ndio luxurious meal.
 5. Dave Mtzd

  Wanawake watatumalisa

  Daaah! Sio siri sijaelewa kitu chochote. Hiki kiswahili ni konki.
 6. Dave Mtzd

  Mchongoano kati ya kenya na Tanzania.

  Good to be back. Ngoja nifufufe thread yangu. Mchongoano!
 7. Dave Mtzd

  Tufahamiane: KE-TZ Edition

  Kuna sababu gani ya kuniiita tumbili! I'm offended.
 8. Dave Mtzd

  What are your thoughts on these "kenyan" indians?

  Honestly, Indians are super racist...even the father of their nation mahatma Gandhi is chief racist muhufuka. I have never loved Indians, maybe Arabs at least..!
 9. Dave Mtzd

  Kukulana Raw

  Just because there is increase in road accident.. It doesn't mean we should stop traveling...(joking). Lord have mercy on us..why sex should be death sentence? You made it good!!
 10. Dave Mtzd

  Tufahamiane: KE-TZ Edition

  Muda mfupi ujao nitaipost part 2 kule Hekaya. Stick around gal.
 11. Dave Mtzd

  Kwangwaru.....New Anthem

  :D:D nenda kawaambie wanawake neno lao limechukuliwa rasmi na wavululana. Ahahaha! Its our world and our word too. :D
 12. Dave Mtzd

  Tufahamiane: KE-TZ Edition

  Ahahaha!! Tembea na yesu upate uzima wa milele. wish you starry starry night!
 13. Dave Mtzd

  Tufahamiane: KE-TZ Edition

  Ingawaje ni usiku mkubwa...let me grab my earphone and experience that big booty banging. With that booty shaking....its gonna be a long night Leo.
 14. Dave Mtzd

  Tufahamiane: KE-TZ Edition

  Nop! Mkenya anaruhusiwa kuingia na kuishi Tanzania bila kusumbuliwa na yeyote, anachotakiwa kuwa nacho ni passport pekee. Karibu Bongo.
 15. Dave Mtzd

  Kwangwaru.....New Anthem

  Ahahaha!! How do you like it?

Top