Recent content by Chimgege

 1. Chimgege

  Kuna wanyonge na masikini waliokombolewa mpaka sasa katika nchi hii?

  Hapana watawagonga shangazi zao....
 2. Chimgege

  They have gone let's Watch Football Now.

  My problem is not to them Cr7 & Messi. It's about the fans who used to ignore performances of the other players kwa kuwataja tu Messi na Ronaldo. Kwa sasa itabidi wasahaulike kidogo na watajwe wengine. May players are playing so well, hivyo ni time yao sasa.
 3. Chimgege

  Thank You Kenyans for Asylums

  Ni kweli kabisa hatutaacha kuja kusalimia kijijini. Tuliishi vyema sana ni kwetu sasa, na ndiyo maana hara sisi tulikuwa veiled kama wana kikijiji na si wageni.
 4. Chimgege

  Thank You Kenyans for Asylums

  Omdoa shaka lengo ni ujumbe tu kufika mbona hata nyie Kiswahili chenu hakiko sawa sana ila tunakivumilia tu. Usipende sana critics penda contents ndugu, Kingereza hata Trump anamake errors
 5. Chimgege

  Thank You Kenyans for Asylums

  I'm writing to thank you all Kenyans who welcomed us when we were in exile. Our Jamii forum has back, so we will see you next time. No one knows what can happen because our leader is not predictable. We had good time here so we will not forget your generosity!
 6. Chimgege

  Kuna wanyonge na masikini waliokombolewa mpaka sasa katika nchi hii?

  Hiyo imekua kauli yake ya kujilinda pale anapowaumiza wanyonge waliofanikiwa ili kuwapa matumaini hewa wanyonge wenye roho mbaya
 7. Chimgege

  Wakatoliki wenzangu karibuni huku tumsalimie mama yetu

  Vile ni vielelezo tu juu ya kile tunachokiamini na hatuziabudu kamwe. Kwenye ibada zetu humtaja Mungu muumba wa vyote, Yesu Kristo Mwanae wa pekee Pamoja na waja wake wema.
 8. Chimgege

  They have gone let's Watch Football Now.

  Surely, let them follow it kwa TV
 9. Chimgege

  They have gone let's Watch Football Now.

  Ni muda wa vipaji vingine kung'aa sasa sio kila siku cr7 & Messi. May players are playing so well.... Hivyo na wao wanastahili kusteal headlines.
 10. Chimgege

  They have gone let's Watch Football Now.

  Kuondolewa mashindanoni kwa timu ya Argentina yenye Leon Messi pamoja na Portugal yenye Ronaldo kutarudisha ladha halisi ya mpira wa kombe la dunia. Mashabiki wengi walikua wanafumba macho na masikio yao pale lilipoibuka suala la kumzungumzia mchezaji mwingine aliyefanya vizuri nje ya Messi na...
 11. Chimgege

  Baada ya Germany kutolewa na South Korea nimehamia rasmi kumshabikia RONALDO

  Hapo kidogo uko sawa let's us watch football now....cr7 atunaye tena.
 12. Chimgege

  ALI KIBA ACHAMBUA UDHAIFU WA HOJA ZA MWANASHERIA MKUU SWALA LA EXPORT LEVY YA KOROSHO

  King Kiba katika ubora wake Karibu sote tumemfahamu Ali Kiba kwa sababu ya fasihi matamshi inayoanza na uandishi.
 13. Chimgege

  Wakatoliki wenzangu karibuni huku tumsalimie mama yetu

  Pole yako kama uliwahi kuabudu sanamu. Sisi Wakristo Wakatoliki humwabudu Mungu katika roho na kweli.
 14. Chimgege

  Hii emoji imekaa kibabe sana bana!!!

  Ni emoji ya kibabe kwa kweli haiko romantic hiyo ni kwa ajili ya wababe kama sisi.

Top