Ktalk ni kama a well edtablished urban butchery. Ukitaka clean steak utapata. Ukitaka chicken, utapata. Ukitaka nyama ya mfupa utapata. Ukitaka matumbo utapata. Ukitaka tyre na kichwa ya mbuzi, utapata. Ukitaka thufu, utapata. Hata ukitaka mabaki ya kupelekea mbwa, utapata!