Recent content by chemical Ali

 1. chemical Ali

  Wanaume wa mara hatutekwi kizembe. (Picha)

  Safi sana zakaria inawezekana usiwe mkuria mgita and the likes lakini ushujaa wako uliouonyesha umetuwakilisha vyema wanaume wa kanda ya ziwa.. mara vita ni vita
 2. chemical Ali

  Mmiliki wa mabasi ya zakaria ashikiliwa kwa kuwajeruhi maofisa usalama kwa bunduki

  RC ndio mwenyekiti wa kamati na usalama wa mkoa sidhani kama anakosa kutoa taarifa
 3. chemical Ali

  Mmiliki wa mabasi ya zakaria ashikiliwa kwa kuwajeruhi maofisa usalama kwa bunduki

  Hawakuwa mapolisi mkuu wa mkoa amewatambulisha kama maofisa usalama wa taifa sijui ndio watu gani hao
 4. chemical Ali

  Mmiliki wa mabasi ya zakaria ashikiliwa kwa kuwajeruhi maofisa usalama kwa bunduki

  Mkuu wa mkoa wa mara amethibitisha kuwa maofisa usalama hao walifika kwenye kituo cha mafuta kinachomilikiwa na mfanya biashara huyo ambapo wawili walishuka kwenye gari na kuanza majibizano ndipo mfanya biashara huyo maarufu akachukua bastola yake na kuwajeruhi wawili, wengine waliokuwepo kwenye...
 5. chemical Ali

  Fufua nyuzi yoyote ya jf tuendeleze

  Kama kichwa kinavyojieleza nadhani ni wakati wa kufufua nyuzi yoyote unayoikumbuka ili tuendeleze mijadala hivyo usiumize sana kichwa kuanzisha nyuzi mpya..ingawa nyumbani korosho zimeleta balaa
 6. chemical Ali

  Haya sasa Great Thinkers nimewaletea kazi ya kufanya hapa, welcome

  Nakumbuka haya maneneo aliyasema Ahmedinejad rais wa Iran wa kipindi hicho kwenye mkutano wa united nation security council
 7. chemical Ali

  Jf ulikuwa na ID ngapi? Tuwe wa kweli

  We jamaa umekuja huku mzee wa first to reply
 8. chemical Ali

  Jf ulikuwa na ID ngapi? Tuwe wa kweli

  binafsi nilikuwa nazo tatu....na hii ni baada ya kuona dalili za sintofahamu, Wewe ulikuwa nazo ngapi?

Top