Recent content by Bishop Hiluka

 1. Bishop Hiluka

  Nimekuja kutembea ugenini.

  Usishangae kusikia Bashite ndiye moderator...
 2. Bishop Hiluka

  Rais mdogo zaidi duniani aliyeishia kunywa 'mataputapu’

  :oops::oops::oops: Acha wee! Ni nani huyo?...
 3. Bishop Hiluka

  "TISS" what is it and what is its role

  TANZANIA INTELLIGENCE AND SECURITY SERVICE. Hata hivyo, acha uvivu, kwanini usigugo...
 4. Bishop Hiluka

  Ni kweli Chato inajengwa stadium ?

  Tusishangae baada ya miaka michache Chato itabadilika na kuwa Chattle...
 5. Bishop Hiluka

  Hivi nini hatima wa hawa mahayawani wa kisiasa Tz?

  Kwa hali hii Tanzania inaelekea kuwa nchi ya chama kimoja kama China...
 6. Bishop Hiluka

  Tupo Somalia aisee siamini. Ona Makonda na mapolisi wakijiburudisha kwa kuiba kura

  Aisee!... Hata hivyo hakuna marefu yasiyo na ncha...
 7. Bishop Hiluka

  Parapanda

  :D:D:D Jamaa wameua waliposema "Baraza lipo lakini wasanii wanakaa uwani"...
 8. Bishop Hiluka

  Maaskofu mliokutana na Jiwe, mmemuuliza habari za Lisu? au nayi ndio wale wale!

  Sidhani kama wale maaskofu wakorofi walikuwa sehemu ya ujumbe huo...
 9. Bishop Hiluka

  Muuaji wa Lissu lazima ajulikane

  Aisee! Nyerere aliposema mtu yeyote mwadilifu (mchamungu) hawezi kupakimbilia ikulu alimaanisha haya, maana yeye mwenyewe alikaa hapo ikulu miaka 23, anajua aliyoyafanya kabla hajatubu hadharani... Lakini huyu mwingine kila siku anaomba tumuombee utadhani kalazimishwa kuendelea kukaa hapo...
 10. Bishop Hiluka

  Parapanda

  Nasikia Basata wamekanusha...
 11. Bishop Hiluka

  Sumaye anataka kuongea nini?

  Hmm! Kaazi kwelikweli...
 12. Bishop Hiluka

  Dikteta kashindwa na kazi au vipi ?

  :D:D:D bado hajachelewa, aachie ngazi tu wengine wapande, asituzuge...
 13. Bishop Hiluka

  Ccm anaejiamini kuwa anachokiamini na kukisema ni cha UKWELI KABISA AJE HAPA..

  Hmm! Hii ni sawa na kutafuta bikira Uswahilini! Eti mwanamke ambaye bado haja.... ajitokeze hapa!... :D:D:D
 14. Bishop Hiluka

  Sumaye anataka kuongea nini?

  :D:D:D...

Top