BenKaile
Joined
Likes
11

Profile posts Latest activity Postings About

  • Kwenye maisha ya sasa, usiruhusu mafanikio yako yakajadiliwa kwenye mitandao, ni rahisi kukuchimba wakajua mapungufu yako na ndiyo ikawa mwanzo wa anguko lako. Kwenye mafanikio yoyote kuna mapungufu na makosa yake. Yakiibuliwa umekwisha, jitahidi sana wasifike huko.
    Kwenye maisha kuna mambo hayaulizwi wala hayaombwi, bali mfumo wa maisha utakaoishi yatakupa majibu ya ulichotamani kuuliza ambacho hujauliza lakini majibu utapata bila ya kuuliza na utapata kikubwa kuliko ulichotamani kuomba bila ya kuomba.
    Vijana tukipata madaraka au vyeo, jikumbushe maneno haya. "Mimi si bora kama ninao waongoza, mimi nina madhaifu yangu sawa na wengine, mimi si mjuzi zaidi ya ninao waongoza na mimi si mkamilifu kama aliyetuumba."
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…

Top